Msaada: Tigo ina tatizo leo au ni kwangu tu?

arch67

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
259
212
Habari wakuu,

Natumia line ya Tigo ila kila nikipiga naambiwa siwezi unganishwa. Je ni mimi tu au tatizo la kimtandao kwa wote leo?
 
Back
Top Bottom