masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,196
- 13,837
Yaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.
Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na wale wenye mioyo mikunjufu wamesaidia karibia Tshs 670million kuokoa watoto watatu na kuwapeleka kwao Marekani ili wapate matibabu yanayofaa.
Tuondoe siasa, lakini moyo kama huu hupata baraka za Mungu.
God Bless America.