kazikaz
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 31
Leo kuna mtu kajitumia pesa kutoka kwenye account yangu ya tigo pesa kiasi cha Laki mbili na nilipo wapigia Tigo wamesema niende polisi na kiukweli they don't cooperate kabisa kwa upande wangu hiyo pesa ilikua muhimu saana ndugu zangu tafadhali nisaidien nifanyaje