tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Jamaa analala yeye, mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake "Acha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu" . Mke Akakubali "Sawa mume wangu" mke ukamchukua usingizi akalala.
Baada ya mda flani mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Washa zima..
Bado mke kalala tu..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake: "Dogo hebu mwamshe maza huyu mzee asije akatuunguza bure ...!"