20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,147
- 7,128
Habari zenu wanajamvi,
Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa kimaslahi zaidi.
Hali ipo hivi. Mke wa mwanzilishi wa kanisa hilo anaidiwa kutaka kujimilikisha kanisa hilo ili aweze kufanya yale anayotaka hapo siku za mbeleni.Kumekuwa na migongano ya hoja hata kufikia walinzi kupewa oda ya kuzuia waumini kuingia kanisani hapo.
Habari nilizopewa na muumin wa muda mrefu wa kanisa hilo kuwa sasa, kulikuwa na plan za kubadilisha vitasa vya vilango ili kufungwa kwa kanisa ilo.
Waumini wa kanisa hilo na watu waishio around na kanisa hilo wanaeza kutujuza zaidi.