Na nini kifanyike...Ndio sababu kumbe tuna mlundikano wa taka hizi mitaani jamaa wa taka hawataki kuchukua hizi taka zinakuwa kero gereji,serikali Fanyeni kurahisisha namna ya kuondoa hizi taka.
Wasalaam wakuu.
Jamani najua mmechoka naharkati za kila siku. Lakini naomba mwenye uelewa na hii kitu inaitwa D9 maana naambiwa nitoe pesa bank nikafungue acc ya D9 niweke kuanzia 4. 7 m nakila...
Muda si punde askofu huyu kiboko ya Bashite ametua uwanja wa KIA tayari kuelekea Moshi kuhudhuria msiba wa babu yetu kipenzi Ndesa pesa.
Mungu awajaalie wote walioko njiani kuhudhuria kumuaga...
Napenda kutoa hoja yangu hapo juu ambayo imenikwaza kwa muda sasa.
Watanzania wengi hasa tuishio mijini tumekuwa tunatoa pesa nyingi kuchangia harusi za kifahari. Watu wenye uwezo wa kawaida...
Ajali ziwa Victoria, boti iliyokuwa ikitokea kisiwa cha Mrumo Bukoba kwenda Mganza, imepata hitilafu ya injini jambo liliopelekea moto kuwaka kwenye injini na kusababisha taharuki na baadhi ya...
.
Nimeikuta facebook kwenye official website ya TB Joshua Ministries
3 hrs ·
‘SNAKE PASTOR’ GIVES PUBLIC CONFESSION:
Pictures showing Pastor Penuel Mnguni, popularly known as the ‘Snake Pastor’...
jamani ilikua siku ya jumamosi nikitokea kigamboni nakakatiza mitaa ya forodhani nikaona duka zuri la sylver nikaamua kupaki gari na kwenda kuangalia maana nilitaka kununua kitu,
nilipofika ndani...
SYDNEY (Reuters)
Australian doctors used an intravenous feed of vodka to keep an Italian tourist alive after he consumed large quantities of a poisonous substance.
The 24-year-old man, in an...
Ufisadi: Ni mshike mshike tu
2007-10-08 17:28:09
Na Mwandishi wetu, Jijini
Lile sakata la kuibuliwa kwa tuhuma za ufisadi kwa baadhi ya vigogo nchini limeendelea kuzua mshike mshike wa...
je mnafahamu kuwa kinondoni muslim school wasichana wake wa shule ndio wanaojaza zile gesti za kinondoni???
pale mande guesti ndio headquarter yao,wanaingia kama nini hapo na waharabu wanachapwa...
Wadau naomba mnisaidie kidogo kale ka wimbo ka tigo ka JAZA UJAZWE ambako kana bongo flavor verse,taarabu kidogo na ushairi nina omba msaada kwa mwenye mp3 version yake ai upload hapa tafadhari...
Watanzania wamekuwa wakimbilia nje kuhangaika na maisha maruri lakini kumbuka maisha mazuri yako nyumbani kwako- kwani wengi wao wanaokimbilia nje hawana kisomo kilicho makini na huishia mitaani...
Habari zisizo na shaka zinaeleza kuwa Meneja Ardhi wa Mgodi wa Acacia North Mara, Bwana Peter Enger amekamatwa tangu juzi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime kufuatia kampuni hiyo kushindwa...
Vitenge doti 1,viatu pea 1,kilemba,Sabuni miche 2,Mafuta ya kupakaa,fedha tsh.10000, mahari: majembe 2 au tsh:20000,blanketi 2 kubwa na mashuka 2,mbuzi 2 beberu au tsh:200000,mbuzi wa 5 au...
Hbr Jf.Napenda Kuwajulisha Kuwa Nimefanikiwa Kuona Page Tatu Za Orodha Ya Watumishi Wanaodai Nimemwona Wife Alikuwa Anadai Laki 7 Kaandikwa Anastahili Laki Tano Na Tisini Elfu 590000 Lakini Sio...
Hivi jamani kila mmoja kwa imani yake hivi inashindikana kweli tuseme taifa zima tufunge na kuomba saana na kumshatikia Mungu ili wale viongozi walioenda kinyume na makubaliano yetu kipindi cha...
Umeme Umekatika Hapa Nyumbani.Ninatumia Mita Ya Kwenye Nguzo,nikitumia Hii Rimoti Yake Kuangalia Salio La Unit Inaandika " Error -77" .Kwenye Display Yake Inaonyesha "P- Cut". Wakati Umeme...
Kwa muda wa wiki mbili sasa kisimbuzi cha Azam TV walikuwa wanatangaza kuwa kuna ofa ya marekebisho ya vifurushi vya channel za TV zao,tena kwa siku mbili mfululizo waliweka channel nyingi zikawa...
Lile kongamano la wanawake washindi la kiumataifa(Winning Ladies National Convention) linakaribia ni pale CCC upanga tarehe 7&8 July kanzia saa 2 asubuhi -12 jioni ..
Wageni ndani na nje ya...