Naomba Ufafanuzi

PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
636
473
Umeme Umekatika Hapa Nyumbani.Ninatumia Mita Ya Kwenye Nguzo,nikitumia Hii Rimoti Yake Kuangalia Salio La Unit Inaandika " Error -77" .Kwenye Display Yake Inaonyesha "P- Cut". Wakati Umeme Unakatika Kulikuwa Na Unit 45.Shida Ni Nini?
 
Back
Top Bottom