Azam TV walisema vifurushi vyao vina ofa lakini leo hali ni tofauti au ulikuwa danganya Toto??

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,488
Kwa muda wa wiki mbili sasa kisimbuzi cha Azam TV walikuwa wanatangaza kuwa kuna ofa ya marekebisho ya vifurushi vya channel za TV zao,tena kwa siku mbili mfululizo waliweka channel nyingi zikawa zinapatikana kwenye kifurushi chao cha Azam pure.
Lakini leo nawasha TV naona wamekata channel zote na kubakisha zile za Azam pure ambazo nyingi ni za hovyo hovyo tu sana sana channel za Uganda na Rwanda.
Swali langu yale matangazo ya ofa ya mabadiliko ya vifurushi ilikuwa danganya toto???
 
Back
Top Bottom