Mtu mdogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 525
- 826
Ajali ziwa Victoria, boti iliyokuwa ikitokea kisiwa cha Mrumo Bukoba kwenda Mganza, imepata hitilafu ya injini jambo liliopelekea moto kuwaka kwenye injini na kusababisha taharuki na baadhi ya abiria kuanza kujirusha majini.
Taarifa nilizozipata mpaka sasa takriban watu 15 wanasadikiwa kufa maji. Iidadi kamili bado haijapatikana.
Taarifa nilizozipata mpaka sasa takriban watu 15 wanasadikiwa kufa maji. Iidadi kamili bado haijapatikana.