Kinondoni Muslim School Aibu Tupu.

Charlo

Member
Sep 18, 2007
5
2
je mnafahamu kuwa kinondoni muslim school wasichana wake wa shule ndio wanaojaza zile gesti za kinondoni???
pale mande guesti ndio headquarter yao,wanaingia kama nini hapo na waharabu wanachapwa kimoja ndo wanarudi shule.hebu wizara ya elimu na ichunguze mambo haya.
inatia aibu mno wakati tunatoka nyumbani halafu jamani unakutana na kitoto cha shule kimefanyiwa kazi kwenye gesti mpaka kinatembea kwa upande.
sio poa.
 
lete data,isje ikawa udaka..umewaona wangapi na tupe picha zao
 
Sometimes ushahidi unamatter, lakini katika hili hata akikuambia amneona 10 wakiingia utaamani vipi? Au unataka akuambie aliingia naye mmoja ndo utaamini? Haya ndiyo mambo akina kara wanalikuwa wakimwambia zito lete ushaidi wakati nyaraka wanazo wao.

Cha msingi hapa ni wahusika wote BAKWATA na Wizara kulifanyia kazi. Nakubaliana na Charlo kwani siku moja kisichana kimoja kilikuwa kinajilengesha kwangu, nikashangaa hiki kitoto kinataka nini nikaamua kukipuuza na kupanda gari nikaishia. Vitoto kama hivi vikikutana na wenye uchu wa ngono wanapitia hawajali kitu.

Location yenyewe pia inashawishi watoto kuingia kwenye bness kama hiyo. Tafadhali Wazazi kuweni makini na watoto wenu kwani ndo taifa la kesho.

Tusipoteze rasilimali watu na madini pia.
 
leteni data,acheni bla blah za kuchafua jina la shule hiyo!tuambie ni gesti ipi huwa wanaenda?piga hata picha zinazohusiahana na matukio kama haya
 
Haya, we kalia data,data mtu ameona eti asiseme kwa kuwa hana picha au idadi ya waliojirusha. hapotezi kitu ila nia yake ni kurekebisha. Hata akipiga picha wanaingia utasema mbona haionyeshi kuwa wanafanya tendo hilo.
 
hata suala la BOT na Buzwagi yasingekuwa na data za uhakika watu wangejua bla blah,ndio maana tindu lissu alienda akitindia brala na kuvumbua ufisadi uliofichika.
 
Wazee tuache udaku au kuchafua jina la shule... hivi una ushahidi gani mtoto anaeingia hapo gest ni shule ya Kindoni Muslim? wengi wanajua mtaa ule kuna changua wengi..hii haimaniishi ati watoto wa kike wengi wanaosoma hapo ni changu.. Binafsi ufisadi wa watoto wa watu Haufai awe anafanya x au y.

Watoto wengi wa kike ktk shule nyingi hapa DSM na Mikoani...wanachapwa Hovyo either wanafunzi wenziwao, walim, na wapita njia kama wapiga debe na tax drivers. kama Tatizo ipo sote tulirekebishe. Pia kama umeona Uozo huo si muhim kuuleta hapa jamvini unless JUHUDI ulizofanya kuwafuata wahusika limeshindikana...Hapa tunaweza jadili ya nini kifanyike. Hii hili JAMVI halina tofauti na Jamvi la Klabu ya Simba, au Pan, basi maana ya kuingia hapa jamvini..
 
kuna watu wengine wanakua wabishi kama mi...... yaani mtu kashakuambia ameona watoto wa shule fulani wakiingia gesti flani...mtu bado anataka umhakikishie eti una uhakika gani ni washule ile??then wat r the uniforms for n wat r they representing??na weye ulieuliza gesti gani sijui jina akupe..mbona mi naona alivyoandika kataja na gesti kabisa???au ni yako nini kakuharibia soko?au nawe ni mmoja wao?
kuhusu watoto wa shule zoote kuchapwa i agree so nawewe ukiwaona watoto wa shule fulani nawe chukua hatua kama za huyu mwenzetuu..
 
Tuache ubishi mwingine usio na maana, charlo kuleta mada hii hapa ni kwa ajili ya kusaidia sio kupaka matope kama unavyodhani ndo maana kasema Wizara ichukue hatua kurekebisha.

KAMA WATOTO WA SHULE ZOTE ZA DAR WANACHAPWA KWA HIYO UNATAKA KUSEMA WATOTO WA KINONDONI MUSLIM NI HALALI NA WAO KUCHAPWA. AU NA WEWE NI MDAU?

Tuache porojo, unataka data, data gani wakati kakuletea information, take actions guy.Unataka picha za tendo la ngonoi? au unataka picha za gest House, nani kakuambia wanaingia nyumba moja kila siku au una wasiwasi asijetaja nyumba yako? Nimekuambia mimi kalishajilengesha kamoja nikakashit.

Endeleea na kudai data zako watoto wakiendelea kuteketea.

Kinondoni Muslim na wizara chukueni hatua za makusudi kuchunguza hili.
 
Nadhani Karlo hajafanya kosa hapo. Yeye kasema aliyoyaona na hajahukumu bali yeye kashauri (serikali) wizara kufuatilia hili.
Si uongo ni kuwa maadili yameporomoka sana kuanzia vyuoni hadi shule za primary na kama hatua haitachukuliwa ni hatari sana kwa taifa.
Kwani nani hajui kuwa ukimwi upo? Nani hajui tunapoteza nguvu kazi kubwa kwa hili janga? ni wanafunzi wangapi wanaharibiwa maisha yao kwa mimba zinazofisha ndoto zao? Watu wanachangia wanajikwamua kujenga madarasa na wanafunzi wao ni ngono tuu, ni haki Karlo kuona wanayofanya na kukaa kimya? Mimi nadhani kama Karlo alivyopendekeza wizara na NGOs zishughulikie kama ni ukweli ujulikane mapema. Hapa data hazihitajiki wala nini, mtatafuta data miaka nenda rudi na mambo yanaendelea kuharibika tuu.
 
Naomba tutumie common sense picha mzitakazo apa ni zipi za hayo matendo au iyo guest.
After all lisemwalo lipo kama halipo laja,ni matumaini yangu mkuu hana lengo la kuzusha.
Nimekaa kinondoni miaka miwili tena maeneo ya karibu na pale wazee wa pale ata kwenye misiba wanawaasa vijana wao kutoendekeza hayo mambo bali wazingatie shule.
Ivo vitendo vipo na si kwa wanafunzi tuu bali ata kwa wengine!
Tulishukuru jiji kwa kujenga uzio kwenye makabuli bse nayo yalikuwa viwanja vya kufanyia ayo mambo nyakati za jioni ila inatia moyo kwamba sometimes ulikuwa unakuta condom.
Tubadilike!!!!!!!!!!!????????????
 
Kwa jinsi ninavyofahamu mimi shule hiyo nakubaliana kabisa, wanafunzi wake ni easy going. Wao ni champions wa one day/evening/night stand. Sio rahisi kuwa na picha kama evidence, kama wewe uliyeko hapa Dar ukiwa na gari lako nenda tu ukapack pale toa offer ya chips, bia au soda for sure utakamata mmoja au wawili. Hayo yanaweza hata kujithibitisha kwenye performance yao, angalia matokeo ya form four kila mwaka ndio utajua
 
Kwa hayo waungwana mmenena kila mtu ana nafasi yake katika kuliokoa taifa, tusiwaachie wizara na kinondoni muslim management pekee, kwa mawazo haya mazuri ya wana JF itasaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom