Taifa latakiwa kufunga kwa muda wa siku saba kuondoa mabalaa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,394
Hivi jamani kila mmoja kwa imani yake hivi inashindikana kweli tuseme taifa zima tufunge na kuomba saana na kumshatikia Mungu ili wale viongozi walioenda kinyume na makubaliano yetu kipindi cha kampeni mfano viongozi waliovunja katiba ,viongozi waliotoa ahadi hewa viongozi wanaodhulumu pesa za raia ,viongozi wanaokula pesa za maafa na rambi rambi ili Mungu anyoooshe mkono wake awaadhibu?


Maana naona ishakuwq too much yani

Kama tumeshindwa kupambana kwa njia ya kawaida basi tumshtakie Mungu illi wake maadhalimu wote wanaokiuka miiko ya uongozi kwa namna moja au nyingine waweze kupewa pigo takatifu


Nina imani Mungu yetu sio kipofu wala kiziwi hivyo basi maombi yetu hayataenda bure bure lazima Mungu atatujibu maombi yetu na udhalimu we chini chini unaoendelea utakuwa kikomo chake.
 
Back
Top Bottom