UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hbr Jf.Napenda Kuwajulisha Kuwa Nimefanikiwa Kuona Page Tatu Za Orodha Ya Watumishi Wanaodai Nimemwona Wife Alikuwa Anadai Laki 7 Kaandikwa Anastahili Laki Tano Na Tisini Elfu 590000 Lakini Sio Mbaya Bora Alipwe Tu.Nazi Upload Mtandao Unayumba Kidogo.