Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Lile kongamano la wanawake washindi la kiumataifa(Winning Ladies National Convention) linakaribia ni pale CCC upanga tarehe 7&8 July kanzia saa 2 asubuhi -12 jioni ..
Wageni ndani na nje ya Tanzania watakuwepo kama vile
~ Ntokozo Mbabo & Nqubeko Mbata kutoka South Africa
~Rev Mrs.Funke Adejumo kutoka Nigeria
~Irene Mbowe
~Pst Acheyo & wife
~Pst Hellen Uronu
~Pst Ryoba & wife
~Pastor Nick Shaboka
~kings choir
na wengine wengi...
Tukiongozwa na andiko kutoka Yoshua 1:9
Tickets zinauzwa online kupitia link hapo chini:
Winning Ladies National Convention
Kwa mawasiliano zaidi piga namba
0755451249 au
0714674633
Ewe dada, mama, binti, mke, mchumba usipange kukosa. Mkaribishe na mwenzio..
Limeandaliwa na winning ladies Tanzania chini ya mwazilishi na kiongozi wao PST.ROSE SHABOKA