Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari ya kusikitisha nimeipata kwamba, ajali mbaya imewachukua wanafunzi Maretadu. Wanafunzi hao wa shule ya msingi Maretadu chini, waliangukiwa na kifusi hapo pichani...
Habari wakuu..
Kwa wale ambao mmewahi kushiriki semina ya kimataifa , International Youth Fellowship (IYF) kwa Dar ambayo ilikuwa ikiratibiwa na ndugu zetu kutoka Japan chini ya mkuu wao Pastor...
Sijawahi kuona Campaign yoyote ile inaanzishwa ama na Clouds tv au Clouds fm radio halafu isipate mashiko na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Lakini cha kunishangaza kama hata siyo kunisikitisha...
Habari Wakuu!
Binafsi natamani kujua nini kiini cha mauaji yanayoendelea kibiti kila kukicha. Pia nashindwa kuelewa na kuamini kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kushindwa kutambua...
Habari wakuu,
AzamTV wana kipindi cha michezo maarufu kama Mshikemshike ambacho kinaruka baada ya taarifa ya habari ambacho mara nyingi lazima nikivizie kutazama sababu at least kuna ka wigo ka...
Habari za Jumapili wadau,
Imethibitika pasipo shaka kuwa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na mwanachama wake mpya Wema Sepetu wako katika penzi zito...
Unapowazungumzia vijana wa Kiafrika waliofariki dunia huku wakiacha utajiri mkubwa, basi hutaacha kulitaja jina la Mganda mmoja aliyekuwa akiishi Afrika Kusini (South), Ivan Ssemwaga (40) ‘Don...
Kumekuwa na tabia ya Waganga Wakuu wa Mkoa, yaani RMOs kuingilia majukumu ya Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Mikoa , yaani MOi/c (Medical Officer incharge). RMOs wamekuwa wakisahau kwamba...
Katika kumbukumbu zangu msanii Tongolanga hakuwa wa hadhi ndogo kiasi cha msiba wake kudharaulika vile na viongozi haswaaa kisiasa wa Tanzania. Jamaa pamoja na kuwa ameimbia band nyingi lakini...
Kwa siku za karibuni,tumeshuhudia taharuki katika misiba mikubwa eneo hili. Kumekuwa na mivutano ya Kisiasa,Kivyama, Kiserikali na hata kijamii kuhusu taratibu za maandalizi,mazishi, na hata...
Nimepata taarifa za uhakika kabisa kuwa mtangazaji na mwandishi wa habari mkongwe wa RTD tangu miaka ya 1970 na baadae Radio One na ITV kwenye miaka ya 1990 Mzee Rochus Matipa amefariki dunia jana...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 7 jela na kuchapwa viboko 12 mkazi wa Manzese, Ally Tox (19) baada ya kupatikana hatia ya unyang’anyi wa kutumia...
Nimekuwa nikikerwa sana na tabia ya mabouncer ama walinzi wa maeneo mbalimbali ya sehemu za starehe. Maeneo haya wengi wetu tunakwenda kujipumzisha na familia zetu ama wakati mwingine na marafiki...
KAMPUNI YA MAXCOM HAIJAWALIPA WAFANYAKAZI WAKE (CASHIERS) MISHAHARA YAO MWEZI WA PILI SASA NA WANAWAKATA MADENI !
SWALI
KAMA HAUJAMLIPA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE MIEZI MIWILI UNATEGEMEA ATAFANYAJE...
Habari za wakati huu wakuu.
Hili swala la TRA kulazimisha kulipishana kodi sasa imekuwa kero kwa kweli. Mimi nina fanya shughuli za clearing & forwarding sasa kuna mteja wangu huwa anaagiza hizi...
Hivi kuweka headrest DVD kwenye gari( car back seat playerTV) huwa inawekwa kwenye gari yoyote au kuna magari maalum naomba msaada wa kueleweshwa juu ya hili.