Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Husika na heading. Kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawana matatizo yeyote ya kiafya, nani anaweza kukaa na mkojo(holding pee) kwa muda mrefu kuliko mwenzake na kwanini?. Nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
8K Views
0 Reactions
1 Replies
696 Views
kuna wizi umezuka maeneo nayoishi ambapo wezi hao wanatumia dawa inayowafanya waliomo ndani ya nyumba wanayotaka kuiba kulala fofofo kisha kuwaibia. Mimi natafuta namna yakukabiliana na hili...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Wakuu.. Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio...
1 Reactions
27 Replies
20K Views
surprises president with Hebrew prayer Job Daudi Masima, Tanzania's first ambassador to Israel, dons kippah, greets Israeli President Reuven Rivlin with Hebrew prayer. Arutz Sheva Staff, 15/06/17...
0 Reactions
89 Replies
18K Views
Si ubinadamu na ni kukiuka haki za msingi za maiti na wakati mwingine udhalilishaji
1 Reactions
9 Replies
989 Views
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Alipigania Shule Ijengwe Huku Akikutana Na Upinzani Toka Kwa Wanakijiji Waliokuwa Hawataki Shule Hiyo Ijengwe Mpaka Akakwepa Panga Na Mawe Kadhaa Yalimpata Na Kumjeruhi.Leo Alimleta Mwanae Apate...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
kwa nini wanawake wengi asilimia 99 ikiwa wamempenda mtu wanaweza kumpoteza kwa uoga wa kusema i love you simseme tu kwani shida nin
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Natamani kuwafahamu inasemekana walikua ni watu waliokua hodari na wenye nguvu duniani na walileta ngezeko la maovu Karibuni wajuzi,wajuaji,wataalamu wa mambo,wazee wa utafiti na wengine wa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa bei ya carina TI
1 Reactions
2 Replies
670 Views
Mimi mtafutaji kama watu wengine,nimekuwa nikifuatilia thread moja humuhumu JF, uliandikwaga na ONTARIO.. Nimeanza kufuatilia na kusoma baadhi ya articles zinazoelezea FOREX FOR BEGINNERS...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni vizuri kama viongozi watajenga tabia ya kuandika vitabu juu ya mitizamo yao kuhusu mambo mbali mbali ili vizai na vizazi viweze kuzisoma falsafa zao. Kwa mfano Dr. Slaa keshaandika, wengine...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Dodoma. Serikali mwaka huu itaanza majaribio ya watu kujipima wenyewe Virusi vya UKIMWI ili kujua faida na hasara zake. Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto, Dk. Khamis...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ni vita yetu sote hebu jamani wananch wakibiti ebu toeni ushirikiano na polisi zidi ya hiki kikundi cha magaidi kinachokuwa kwa kasi ya ajabu kwenye nchi kama hii ya amani.Hii kitu ni hatari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine ishirini wamelazwa kwenye zahanati ya kijiji cha Samazi,katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa,kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa kipindupindu kwenye kijiji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa wanaume wengi wamekuwa vinara wa michepuko jambo ambalo linapelekea kupata...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
jamani tanzania tuna online official search /wizara ya ardhi/ idara ya ardhi. kama ipo naomba mniwekee link please Najua Kenya and Uganda have!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais awali ya yote napenda kukupongeza kwa dhati ya moyo wangu kwa namna unavyoiongoza nchi yetu. Pia napenda kukufahamisha kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliokupigia kura...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wanabodi. Hivi karibuni nimepata Hati ya Madai ya Kodi ya Jengo kwa Mwaka 2015/2016 ya kibanda changu ambacho kina umri wa mwaka mmoja. Eneo langu halina HATI (TITLE DEED) ni mikataba tu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…