Nawatakia IDD njema watanzania wote!!
Lakini huku tukiangalia ni mfumo gani Mzuri hapa kwetu Tanzania ktk kumpa elimu mtoto wa kike ktk mazingira yoyote Yale ambayo anayo...
ITV, Ijumaa
6/23/2002
Je, makandarasi wanaochelewesha ukamilishaji wa miradi ya maji wachukuliwe hatua kwa uzembe?
###############################################
Kwa vyombo vya habari kama...
Wengi wenu mmekuwa mkiona viatu vimetundikwa juu ya nguzo za umeme. Na wengi huwa mnajiuliza ni kwa nini mtu anachukua kiatu anatundika kwenye wire wa umeme?
Jibu ni kuwa iyo ni kama sign post au...
Wanaofanya mauaji ni wazawa wa maeneo husika ambao walichukuliwa kwenda kwenye mafunzo huku wazazi wakiahidiwa chochote,, na kwa UMASIKINI uliopo maeneo hayo ni ngumu kwa wazazi hao kutaja watoto wao.
Wana Jf Hbr Za Jioni.Mwanangu Anapenda Sana Maji Na Maziwa Tu Chakula Hataki Hata Kusikia She Is 12 Months Now Mpaka Kabali Kama Zile Za Mateja Vichochoroni Bado Anaziba Mdomo Mpe Maji Lita Nzima...
Habari za jioni wapendwa.
Kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa nchini, nimeamua kuchukua hatua hii.
Kwa kuanza malalamiko yangu na huu ushabiki wa kichama ambao tumeotoa katika sera na...
Kumekuwepo na minong'ono hasa kwenye huu utawala wa awamu ya tano, kuwa hatuhitaji mtu imara bali taasisi imara! Swali ni hivi mtu goigoi atajenga taasisi imara? Naamini mtu imara ndie atajenga...
me ni mwanafunzi wa mawasiliano yaumma na uandishi wa habari RUVUMA..... video yake ni kubwa sana ndiomaana nimeweka link... naomba kukosolea na maoni kuanzia style ya mwanzo wa habari mpaka jisi...
Nawasalimu wote wana JF,
Wakati naayaandika haya, wakazi wa Ngorongoro wanajiandaa kwa Sensa ya watu na mifugo inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
Habari ndugu,natumai ni wazima kabisa.Leo ningependa tuzungumze kuhusu imani/dini za waafrika na wazungu.
Kumekuwa na tabia ya kuwalaumu wazee wetu wa kiafrika kwa kuacha imani zao na kufuata za...
Mkazi wa Kijiji cha Mkole Kata ya Nkomolo wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ameokolewa na koti alilokuwa amevaa Kijiji hicho jana.
Wakazi wa Kijiji hicho walijikuta katika taharuki kubwa, baada ya...
Charity begin at home, ni msemo wa kiingereza uliozoeleka kwamba jambo lolote zuri lianzie kwako kwanza kabla ya kulipeleka kwa jirani/mwenzio.
Sasa turudi kwenye mada yangu ili mnielewe. Wimbo...
1. Mwanafunzi wa kike ukiacha aendelee na masomo vipi kuhusu huyu wa kiume aliempa mimba kwanini yeye asimamishe masomo na ikiwezekana afungwe? Labda tukubaliane kuwa wote wawili wasifanywe...
Naomba kila mmoja wetu leo awe shujaa ya kuipigania haki ya msingi ya elimu kwa mtoto wa kike hasa baada ya Raisi kuonesha wazi kuwabagua hao wanyonge anaowataja kila siku, andika haki ya elimu...
Kamishna Rogers Sianga amesema baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya walioko jela wanaishi maisha ya kifahari.
Kamishna Mkuu DCEA asema wafanyabiashara wa dawa za kulevya wanaishi...
Wadau ningependa kuanza na pongezi kwa idara husika ndani ya Serikali kwa kufanya ukarabati wa barabara itokayo Tabata Segerea nakuelekea maeneo ya Kimara kuputia maeneo ya Tabata Kisukuru na...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Travel House Global, Sojan Varghese amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya kujipatia Sh 193 milioni...
Wataalamu naomba kufahamu haya kuhusu huyu mnyama Nyoka.
>Hivi Sumu ya Nyoka Inakaa sehemu gani katika mwili wake.
>Kama mate yake ndio ile sumu mbona yeye mwenyewe Haimdhuru
>Je Ikitokea Nyoka...