Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekikumbuka tu hiki kipindi....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
VICTOR WANYAMA has had a street named in his honour in Tanzania just 24 hours after being named Kenya’s most influential sporting personality. The Tottenham midfielder attended a football...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama kurogwa kweli wahaya ndio kabisaa wahaya wote kuanzia mzee wa henkein wa vijipesa vya ugoro na yule tajiri wa kihaya mzee. InfotecInfotec wote Hamna kitu wote kazi kusifiwa huku dar. Angalau...
5 Reactions
213 Replies
42K Views
Je, Kuna uwezekano wa kubadili username ya jf?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jambo wakuu Kuna wimbo wa zamani kidogo calypso nafahamu baadhi ya mistari lakini sijui jina la wimbo huu. Naomba anayeufahamu anipe mashairi yake au anipe jina la wimbo tafadhali. chorus: "Would...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tusubirie matokeo ya uhakiki wa NIDA kwa watumishi wa umma. Kuna kila dalili ya kubainika idadi kubwa ya watumishi wenye umri tata. Hawa kwa makusudi walifanya udanganyifu kwa kughushi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wandugu hebu tushirikishane jambo hili muhimu.. Kama ilivyo kwa tiba za hospitali na utaratibu wa matibabu ambapo mgonjwa anaweza kupona kupata nafuu ama kufa basi hata kwenye tiba za kishirikina...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Kusema ukweli kwa sasa kila mtaa Wa mji huu maarufu nchi kila mtu yupo ana nongona kuhusu stendi,barabara, na soko kulikoni mbona havifanyiwi kazi? Nakuomba sana mh na ukawa kwa ujamula kama...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Umofia kwenu wana JF, Jana nilikuwa maeneo ya mpakani mwa tz na kenya ndipo nlipokutana na jamaa yangu ambaye ni mwandishi wa habari pande za nai,alinitonya kwamba mtangazaji wa habari za...
8 Reactions
28 Replies
8K Views
SCALE MPYA KWA WALIMU 2017/2018 1.TGTS A1-746,000 2.TGTS B1-894,000 3.TGTS C1-982,500 4.TGTS D1-1,139,000 5.TGTS E1-1,219,000 6.TGTS F1-1,405,000 7.TGTS G1-1,670,000 8.TGTS H1-1,884,000~...
1 Reactions
19 Replies
13K Views
"Wametuletea mambo kubakana,Wanaume kwa wanaume,Wanawake kwa wanawake, wakati hata ng'ombe au mbuzi hazijawahi kufanya huo mtindo,ni ujinga ,ni upumbavu,ifike mahali watanzania tujitambue na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumain ni wazima Naombeni msaada jamani Mimi napenda sana kunyoa kipara kile ccha kung'aaa kabisa ila sasa kila nikinyoa tuu lazima nilazwe hospital yani nakuwaa Naumwa balaaa na hata wakifanya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jaman mim na shindwa kuelewa kwa sasa why mama janneth magufuli hatoki kuongea na hata inshu ya watoto wa kike wanafunz watakao pewa mimba na je yeye kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu humu jukwaani. Kutokana na kauli ya Mh Rais kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutorudi shule,kauli hii imepokelewa vibaya na wananchi hasa wapinzani wake.Jana nilianza kufanya...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Watu wa Mungu bwana Asifiwe, salaam poleni na majukumu ya jpili.nilikuwa nahitaji ushauri wenu ndugu zangu kuhusiana na maswaiba yaliyonipata. Hi ni week yapili niliyopo kwenye hofu isiyo...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
*UTAJUAJE KAMA WEWE NI SHUJAA???* 1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Unadhani ni huyu mwanamke anatokea mkoa gani ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unakumbuka nini ukiona hii picha?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuwa ndio unaoongoza nchini kwa uzalishaji wa mihadarati ukifuatiwa na Mkoa wa Arusha. Hii ni kwa mujibu wa Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…