Nimepata ramani ya nyumba ya kuishi, yenye vyumba 4( kimoja kati ya hivyo ni self contained), sitting room, dinning room, jiko,choo na bafu(public) ukubwa wa nyumba ni 107.5 sq m lakini naangalia...
Wakuu leo asubuhi redioni nimesikia sikukuu ya Idd kitaifa kesho tarehe 26 itafanyikia mkoani Kilimanjaro na mgeni rasmi atakua ni Waziri mkuu Kassim Majaliwa, je sikukuu ya Christmas tarehe 25...
Baadhi waliitumia kuongeza ushawishi wao na wengine kutaka kusisitiza amani na mshikamano.
Futari ama Iftar ni mlo wa kwanza unaoliwa jioni baada ya jua kuzama wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa...
Mwaka jana nilibahatika kwenda nchini Kongo na nikaweza kujionea mengi sana ambayo hapa nchini kwetu Tanzania hakuna na mojawapo la jambo hilo ni suala la umeme.
Kule Kongo karibia nyumba zote...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa vyama vya upinzani hasa vinavyounda UKAWA umuhimu wa jamii kukaa pamoja kujadiliana na kumaliza tofauti zao...
Habari zenu ndugu wana JF, natumai mpo salama.
Leo ningependa tuangalie suala linaloendelea kwa sasa juu ya mcheza mpira maarufu raia wa Kenya Victor Wanyama anaekipiga katika club ya Tottenham...
Nina watakia Waislam wote Nchini hususani wana Jimbo la Bukoba Mjini, Sikukuu njema ya Eid El Fitr- 2017. Iwe ya Amani Upendo na Mshikamano na tuyadumishe yote mema. Tuliyojifunza wakati wa toba...
Wakuu habari za swaum,
Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili)...
Haji Manara amepost Instagram huku akim-tag samatta inaonyesha wazi kitendo cha mkurugenzi kuengua jina la mtaa la wanyama limemfurahisha sana Haji mpaka akaamua kumhusisha samatta kwenye tagging...
Mahakama ya Wilaya ya Mlele imemuhukumu mlinzi wa Sekondari Ilela, George Sikoki kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo...
Habarini waungwana
Eid Mubbaraka
Hainiingii akilini kabisa
SOKO LASHIMONI tukiingia unafanyiwa inspection (jambo jema na Mimi nalipongeza) na Sehemu kama MLIMANI CITY NA QUALITY CENTRE hatukaguliwi.
Siku mbili tangu kuuawa kwa polisi wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao walikuwa kazini katika kijiji cha Bungu B, hali ya wasiwasi imezidi baada ya wauaji hao kusambaza ujumbe unaoeleza...
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), limesema Sikukuu ya Idd el-Fitr kitaifa itaswaliwa Moshi mkoani Kilimanjaro, Juni 25 au 26 kutegemea na mwandamo wa mwezi.
Kwa mujibu wa taarifa...
Timu ya soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya ina matawi zaidi ya 400.
Katika matawi yote hayo hakuna hata moja lililopewa jina la Rais Uhuru Kenyatta, ila juzi wamezindua tawi jipya na kuliita tawi...
Wadau Heri Ya S/kuu Ya Eid Fitri Nipo Hapa Mpaka Jioni Mwana Jf Yoyote Akifika Eneo Hili Aseme "Jf" Nitaitikia Jf Tufurahi Sikukuu Na Kubadilishana Mawazo.Nimevaa Flana Nyekundu,travolta Nyeusi Na...
Askofu Mkuu wa KKKT Dkt. Fredrick Shoo jana akiwa katika moja ya hafla huko Mkoani Iringa alisikika akitamka haya maneno ambayo nayanukuu hapa " Mtu mzima kabisa unaenda kusaini Mikataba na...