Wilfred M. Lwakatare anawatakia Wananchi wote Eid Mubarak

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,721
2,000
03303bdc-e327-439c-8288-e23a227bfa49.jpg

Nina watakia Waislam wote Nchini hususani wana Jimbo la Bukoba Mjini, Sikukuu njema ya Eid El Fitr- 2017. Iwe ya Amani Upendo na Mshikamano na tuyadumishe yote mema. Tuliyojifunza wakati wa toba.

Wilfred M. Lwakatare (MB)

Jimbo la Bukoba Mjini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom