Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa mashuleni waendelee na masomo yao, ili kufikia malengo...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Najiuliza JPM ana mwaka Mmoja na Miezi Saba tangu aanze kazi ya urais baada ya baadhi ya Watanzania kumchagua Kwa upande wangu huu mwaka Mmoja na Miezi 7 ya jamaa kuongoza nchi naona kasababisha...
1 Reactions
5 Replies
900 Views
Kama ilivyo hapo juu wakuu, Jumanne next week I will be hitting all possible pavements on my way to Kibiti. Kuna a lot of ABC kwa sasa hasa swala la Usalama. Mimi ni free "lencer" sina cha kuhofia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtu unalia lia maisha magumu pesa mtaani haionekani lakini ukifika uchaguzi unampigia yuleyule aliekusababishia hayo yote Hasa wanawake na wazee ni makundi yanayoishi maisha ya taabu sana lakini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Tottenham and Kenyan midfielder Victor Wanyama was honoured in Tanzania on Saturday by having a street named after him in Dar es Salaam. But the gesture looks to have been short-lived as local...
1 Reactions
73 Replies
9K Views
Wengi wetu tumezaliwa na kupewa Dini aidha Uislamu (uarabu) au Ukristo (Uzungu), sasa Je, uko tayari kufa kwa ajili ya hiyo Dini?
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Pamoja na uchache wa magari barabarani nimeshangaa kukuta trafic light Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Mji mdogo wa Chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na...
0 Reactions
342 Replies
48K Views
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi watu wengi wazima...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo asubuhi nimefanya utafiti usio rasmi kuhusu biashara ya nyumba za kufikia wageni, majibu niliyopata sikuamini macho yangu. Nimetembelea jumla ya loji 6 na nyumba za wageni 7 katika mtaa wangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Eid mubarak ndugu zangu, Leo nimebahatika kuwepo mkoani Mtwara katika sherehe hizi za kumalizika kwa mwezi mtukufu wa ramadhani. Mtwara ni moja ya mikoa ambayo inaidadi kubwa ya waamini wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninashangaa sana hii mitimu. Kila siku inamtegemea ama Dewji au Manji au tajiri fulani. Hivi lini mtajitegemea nyie matimu? Timu zina umri wa Chelsea, lakini mpaka sasa tegemezi.
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Msaada kwa wanaojua channel
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kifupi Kwa vigezo vilevile vilivyotumiwa kutokuruhusu watoto waliodungwa mimba mashuleni kwamba kurudishwa mashuleni kutachochea uzinzi. Kuna haja sasa ya serikali hii ya awamu ya tano kupiga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama umeguswa kutoa msaada kwa wenye uhitaji fanya hivyo kimya kimya bila kuongozana na msululu wa waandishi wa habari. Kufanya hivyo ni njia ya kutarajia malipo ya wema wako huo kutoka kwa...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amemshukia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai na kumtaka kuacha unafiki kuhusu futari yake aliyoandaa na kususiwa na wabunge wa...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Karibuni wadau tupeane mazuri katika mtaa huu maarufu wa Victor Wanyama
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu salaam,Mimi ni mkristo ila nawaombeni ndugu waislam mnitoe tongotongo.futari hutolewa kwa nani?km Mimi ninauwezo,je nimualike nani?Wenye uwezo ama wenye mahitaji ambao hawana uwezo.maana...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Ebu angalia dada zetu, mama zetu au wake zetu wanavyotudhalilisha katika sikukuu takatifu ya Eid El Fitr!
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Anaaandika Wamajiwa M.M. (Teute), Mwanasheria Msomi SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA BEN SAA8. Ndg, waTanzania, Ben saa8 Ni mtanzania kama waTanzania wengine mfano wa mimi, wewe na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…