Mashamba ya ngano..Tanzania

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
355
Hellow wana JF.
Miaka mingi wakati niko mdogo nilikuwa nikisikia kuwa tanzania inamshamba ya ngano..ambayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirikiano kati ya tanzania na Canada.Yalikuwa ni mashamba Tisa..yaliyokuwa na ukubwa wa eneo la kama Hekta 35 kila moja.
Wakanda waliendesha mashamba hayo kwa miaka mitano baada ya hpo wakatuachia,baada ya miaka miwili hayo mashamba yakafa mpaka leo yanaota miti na kuwa kama vichaka watu wanachungia ng'ombe.Does this mean kwamba managment ilitushida?

Au zile zana za kutendea kazi tuligawana na kuacha mashamba?
Au ile dhana ya kuwa hii ni mali ya serikari tumia tu hakuna shida ilikuwa implemented kisawasawa.

Good day
 
Back
Top Bottom