Msaada kupunguza uzito.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,648
2,000
Kuna mwanamume ana miaka takriban 50. Aliniomba ushauri wa jinsi ya kupunguza uzito. Ana kilo 85, lakini kwa urefu wake anahitaji kuwa na uzito wa kilo 70. Je afanyeje kupunguza uzito! Amejaribu njia ya kufanya mazoezi imeshindikana! Mazoezi yamemsaidia kuwa mkakamavu lakini uzito haujapungua.
Amejaribu kupunguza kiasi cha chakula anachokula lakini uzito haukukungua! Aliacha kutumia kifungua kinywa na chakula cha mchana kwa na kubaki na mlo mmoja wa jioni saa12. Uzito ulipungua kwa nusu kilo tu kwa miezi 3.
Je afanyeje? Karibuni kwa wanaojua njia nyingine salama za kupungua uzito!
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,401

Njia ya mazoezi imeshindikana au yeye kashindwa?.. halaf ana skip robo ya chakula asubuhi na mchana then anakuja kubugia 2kg jioni!!..halaf mnadai imeshindikana!!..imeshindikana eeh??..we si unaitwa mbinguni kwetu?? Hiyo ndio njia mbadala sasa
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,861
2,000
Tatizo la uzito wa mtu kuzidi....linashabihiana kwa kiasi kikubwa na mtindo wa maisha ya huyo mhusika......

Unapoamua kupunguza uzito...unatakiwa ubadilishe mfumo mzima wa maisha yako....niikiwa na maana ya mlo wako....na vitu vingine vinavyoyazunguka maisha yako.....pia hilo jambo linataka utayari wa nafsi yako (mind).....

Watu wengi wanaotaka kupunguza uzito wanakuwa tayari physically lakini sio mentally.....ndio unashindwa kuuelewa mlo wa mtu anayetaka kupunguza uzito......

Watu wengi waliojazana gym ni wachache sana wenye nia ya dhati kufanya kile kilichowapeleka pale......

Ndio maana unakuta mtu ana miaka mingi yupo gym lakini bado yupo vile vile......
 
tejateja

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,620
2,000
Kuna mwanamume ana miaka takriban 50. Aliniomba ushauri wa jinsi ya kupunguza uzito. Ana kilo 85, lakini kwa urefu wake anahitaji kuwa na uzito wa kilo 70. Je afanyeje kupunguza uzito! Amejaribu njia ya kufanya mazoezi imeshindikana! Mazoezi yamemsaidia kuwa mkakamavu lakini uzito haujapungua.
Amejaribu kupunguza kiasi cha chakula anachokula lakini uzito haukukungua! Aliacha kutumia kifungua kinywa na chakula cha mchana kwa na kubaki na mlo mmoja wa jioni saa12. Uzito ulipungua kwa nusu kilo tu kwa miezi 3.
Je afanyeje? Karibuni kwa wanaojua njia nyingine salama za kupungua uzito!
Apunguze kula tu huyo. Amini nakwambia akipunguza kula kiukweli kabisa lazima apungue uzitto.
 
bendee

Senior Member
Feb 21, 2013
111
250
Kuna majani flani ya chai ambayo nighali kidogo nimewahi kuyaona China na ndio ambayo wa china wengi wanayatumia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom