Serikali isipoteze pesa kununua dawa za kupunguza makali ya UKIMWI

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,525
2,000
TULIA SOMA MARAMBILI KABLA YA KU-COMMENT
90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
*** HII INAFANANA NA YA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO. Shangilieni na hili kama kweli nyinyi ni wazalendo***
Ni hayo tu waungwana.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
Ni hayo tu waungwana.

Wanapata hizo dawa ni % ngapi??Wasiponunua unadhani utajua watu wangapi?

Kabla hujafikiria wewe mfikirie anayetumia dawa.Ni ubinadamu tu wala si lazima
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,672

Wewe mdogo wake Trump!
 
COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,525
2,000
Wanapata hizo dawa ni % ngapi??Wasiponunua unadhani utajua watu wangapi?

Kabla hujafikiria wewe mfikirie anayetumia dawa.Ni ubinadamu tu wala si lazima
Kalianzisha mwenye nyumba kutosomesha wazazi. Hivyo tunamshauri maeneo mengine ya kubana matumuzi. Unapo mzuia binti aliyepata ujauzito asiendelee na masomo ni unyama sana.
Mimba mashuleni zinaletwa na ngono.
Ukimwi unaletwa pia ba ngono 90%.
Lengo wote tuache Ngono, tusihukumu wanafunzi wakike tu wanaopata ujauzito
 
COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,525
2,000
Mleta mada wewe ni mtu mbaya sana. Una roho ya kinyama kabisa. Ni Bahati mbaya kwamba jamii yetu imejengwa ktk msingi wa unafiki na Haya ndiyo matokeo bora ya fikra zetu. Baadaye utasema malaria ni uginjwa wa uzembe, n.k
Kama mlivyo mshangilia kwenye issue ya wanafunzi wenye ujauzito, shangilieni na hili. Mbona hili linawauma sana?.
NGOs si zipo zitawanunulia dawa!.
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,583
2,000
Hahahah

Ukimsoma mtoa mada btn the line utamwelewa

However, utakuwa ni uamuzi mbovu wa kihistoria wenye massive impact kwenye population na economy
Serikali makini yeyote haitokaa kufikir hivyo....
Mungu mwenyewe atunusuru
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom