Negative feedback.....

Kasana

JF-Expert Member
Apr 3, 2007
415
29
Negative feedback ni muhimu kwa kila system (ikiwemo JF)ili kumaintain balance yake.

Nikikusanya maoni mbali mbali yaliyowahikutolewa na baadhi ya members, na summarize kama ifuatavyo.


loosing credibility.
Baadhi ya members wamecaution hii hali, na wamesema inachangiwa na members wapya ambao wengi ni watoto. Sidhani kama hii peke yake inatosha kuconclude,
other factors nafikiri zinatokana na how we interact ourselves and how we contributes to different posts,

kuwepo na ka mtandao ndani ya JF.
inawezekana yes or no. kama ni yes what may be the impact? one member alisuspect hilo,( alisema ....ununue bifu na mmoja wa wanamtandao).

Issue sensitive zinasahaulika.
Mara nyingi wachangiaji huwa wanajikita katika 'hot story'na labda has less benefits to many poor Tanzaniana na kusahau/kutozipa uzito issue nyeti.
mfano ni issue ya wachina kuwapiga wazalendo, ajali barabarani etc


Jamboforums where we dare to talk openly


weekend njema
 
Kasana,
Ni observation nzuri kwa kweli, lakini ninavyo ona labda ulikuwa huna muda wa kukutosha wakati unaiandika, lakini pia inaonekana umeifikiria kwa muda mrefu sana na umeamua kuitoa. Kama wazo tu, miye ningekushauri utafute muda wako na kuiongelea kirefu kama ulivyopanga awali. Kama sivyo ulivyo dhamiria, basi kunradhi.

SteveD.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom