Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Wadau, kwanza niwatakie eid mubaraka wote,
Naombeni kujulishwa maduka yanayouza vifaa vya umeme origino katika jiji la Dar, nahitaji vifaa vya umeme kama nyaya, switch, socket breka, kwa kifup vifaa vyote ili nyumba yangu ifanyiwe wiring, vifaa vyote nataka ninunue mwenyewe ili fundi kazi yake ni kufunga tu, nitaongozana na fund kununua hivyo vifaa, naombeni msaada wa kunijuza duka