Instead of chemical-filled toilet paper, try using a bidet instead.
When choosing a toilet paper, be sure to read the label carefully to make sure it has no fragrances or dyes, and that it hasn’t...
KAGERA: Basi la Kampuni ya Mohammed Classic lagonga Ng'ombe zaidi ya 30 katika barabara inayopita pori la Burigi.
Abiria waliokuwa wakisafiri katika basi hilo linalofanya safari zake za Bukoba...
Najiuliza ni hatua gani zitachukuliwa kwa wavulana walio chini yaUmri wa miaka 18 ambao watathibitika kuwapa mimba wasichana walioko shuleni. Jee na wao wataachishwa masomo ama watazuiwa kutumia...
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !![emoji57][emoji57]
Serikali ya Israel imewaalika mahujaji wa Tanzania kutembelea miji yake mitakatifu kwa ada ya kiwango cha chini.
Kulingana na mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini Tanzania, Devota Madachi ambaye...
Hivi inakuwaje nafasi za kazi za siku hizi wanataka vijana wenye umri wa miaka 24 kushuka chini haswa serikalini.
Sasa katika hapa kuna watu wapo nyumbani karibia miala 4 wakisubili ajira na...
Apatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months
Namba yangu ni 0659364407
10.
Jina:Ismael Zambada Garcia
Jina linigine:El Mayo Zambada
Mwaka wa kuzaliwa:1/1/1948
Uraia:Mexico
Mshirika:EL Chapo(Amekamatwa)
Maelezo:Anaongoza genge la kuuza ngada nafasi aliyoirithi...
Kutokuridhika na kazi ni hali ya kujisikia hufikii matarajio yako kikazi. Matarajio yanaweza kuwa kiwango cha mshahara, kujisikia unafanya kazi ndogo kuliko uwezo ulionao, kazi kutokuendana na...
Wakuu kwa mliopo Dar es Salaam natafura cherahani used yenye uwezo wa kushona ngozi , ushauri wako pia ni muhimu asante!
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kabla mahusiano yao hayajakolea
jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake.
"Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda
Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto...
Wakuu huku moshi ni shiiida sana
Room 60000 ulale peke yako
Mkilala wawili 70000
Au
Utoe 60000 usipate kifungua kinywa asubuhi
Aise hizi hotel ni shiiida na almost karibia zote zenye bei hizi
habari wadau
nimeona gari ya Mc pilipili... na nyunba ya mwenye mwika hall sinza...
nikagundua harusi kweli ni biashara nzuri sana ambayo inatajirisha sana watu wajanja..
huku tunakimbizana na...
Ukosefu wa Lift katika jengo la wagonjwa la taasisi ya mifupa ya MOI katika Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam umeelezwa kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili wagonjwa wanaofika...
jamani someni seditin kwa kifupi.. Lowasa
Tanzania Media Act brings trouble for journalists
Tanzania Media Act brings trouble for journalists | DOHA CENTRE FOR MEDIA FREEDOM
Kwa wale wanaotegemea kupata watoto hivi karibuni basi nimewarahisishia kuwaletea list ya majina ili muweze kuchagua - huwa kuna kazi kidogo wakati wa kuchagua jina la mtoto hasa akiwa first born...