Kundi lipi linatumia mitandao ya kijamii vibaya

Kundi lipi linatumia mitandao ya kijamii vibaya

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
1: Elimu ya 7 - Form Four
2:Form four - Chuo

Wa vijijini vs Wa Mjini
 
Wenye akaunti Youtube kuweka vichwa vya habari au picha zilizofanyiwa photoshop au picha ambazo hazina uhusiano na habari kamili katika video waliyoibandika (up-load) Youtube.

MAUAJI-2-1.jpg


hqdefault_live.jpg


Source: BongoStars

MAUAJI-5.jpg
 
Kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano (IT) vibaya kama hii kuonesha (photoshop) kuwa Polisi wakiwa na silaha ''kali za kivita'' wamemzingira Lowassa kumpeleka Makao Makuu ya Polisi ktk makutano ya Mitaa ya Ohio / Ghana, Jijini Dar-es-Salaa, Tanzania ili kukutana na Mkurugenzi wa Jinai DCI wa Polisi kuhusu ''matamshi ya kichochezi''

''Polisi wenye Silaha wamweka Edward Lowassa Chini ya Ulinzi mkali''- BongoStars
hqdefault.jpg



Source: BongoStars
 
Back
Top Bottom