Mtu mwaminifu ajitokeze, niweke PC yangu bond kwa 150,000!


Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,945
Points
2,000
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,945 2,000
Apatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months

Namba yangu ni 0659364407
 
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
2,647
Points
2,000
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
2,647 2,000
Weka Spec zake alafu ni laptop au desktop..
Siwezi kaa na kitu sikitumii mda wote huo, kwangu sio museum..
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,945
Points
2,000
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,945 2,000
LapTop aina ya HP.Ina Hard Disc 116 gb, CPU 2.40 GHZ, Processor: Intel(R) Core(TM);Duo CPU 2.40 GHZ.
Smokey D
 
nkobanks

nkobanks

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
683
Points
500
nkobanks

nkobanks

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
683 500
Riba utarudisha kiac gan?si unajua value of money ipo hata mkononi kuna VAT pia
 
Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
1,483
Points
1,500
Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
1,483 1,500
si bora ninunue mpya na risiti ntapewa, kuliko hiyo ambayo itaitaji mashahidi alafu haina riba
 
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
2,606
Points
2,000
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
2,606 2,000
Chukua elfu kumi na tano mkui
 
J

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
7,246
Points
2,000
J

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
7,246 2,000
Mkuu mi niko angola nitaipataje
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,976
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,976 2,000
Uko wapi na fanya uweke picha tuona hiyo pc
 
relis

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,144
Points
2,000
relis

relis

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,144 2,000
Apatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months

Namba yangu ni 0659364407
Pc yenyewe aina gani isije ikawa lenovo imeshajizimikia muda tu
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,673
Points
2,000
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,673 2,000
Jaman wana jf fanyeni hima basi, shida haina mwenyewe
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
17,366
Points
2,000
Age
76
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
17,366 2,000
Pole,naamini atapatikana mtu
 
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,497
Points
2,000
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,497 2,000
Sasa nikichukua nikakimbia nayo utanipataje ??
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,950
Points
2,000
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,950 2,000
Sasa nikichukua nikakimbia nayo utanipataje ??
Ina maana hujasoma heading au ndio kujitoa ufahamu?ni kwa waaminifu tu vibaka kama wewe na mimi haituhusu!
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,457
Points
2,000
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,457 2,000
Kada leo unaanikwa hadharani
 

Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,795
Top