Hili neno DUDE Linavuma sana siku hizi mwanzilishi ni nani

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,205
2,000
DUDE DUDE DUDE
Mara limeamshwa
Mara kaliamsha dude

Nani mwanzilishi wa hili jina na kwanini alilisema na alikuwa anazungumzia nini mpaka akalitamka hili neno DUDE

Linavuma sana na wengine wanalitumia sivyo ndivyo
 

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,488
2,000
ni la mda mrefu sana..hilo dude yani fanya mfano joka lenye vichwa sita...au dibwana la aina yoyote kubwaa..got it?
haya sasa ukiliona dude kama hilo utalichokoza ama utalipita kimya?
je ukilichokoza maybe kwa kulichapa fimbo c litaamka kwa hasira?..and what is next...ni vurumai

sasa pata picha ..ni kama vile kumpandisha hasira mtu..kwa kulichokoza
watoto wa mjini wnakwambia umeliamsha dude
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
41,185
2,000
Usicheze na DUDE,muulize Diamond anajua

Utamu wa DUDE wanaujua waliomchokoza baba askofu mpendwa sana asiyemumunya maneno ambaye hajawahi kuwaangusha wanao mzushia,anaitwa GWAJMA kipenzi cha BASHITEEEE
Bashite akimsikia anaugua
 

msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,669
2,000
kitu chenye maumbile makubwa na chenye nguvu ya ajabu. Waanzilishi ni wahenga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom