Kurudisha shule waliojifungua na kuruhusu wanafunzi kufanya mapenzi kihala ktk mfumo rasmi wa elim!!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
Tamko la Rais Dr John Magufuli liko sahihi kabisa.

Lazima sheria za elimu zilizowekwa kisheria zifuatwe.

Hatuwezi kuhalalisha mapenzi shule yaani darasani la kwanza hadi kidato cha sita.

Waende kusoma ktk mfumo usio rasmi hakuna shida kabisa na wala Rais hajazuia hilo.
 
Sasa unafikiri wakirudi shuleni maana yake nini....si mapenzi ruksa tu unaenda kujifungua then unarudi darasani.

Kama watoto wote hawataolewa utakujaniambia.
 
Tunaofundisha mashuleni twaelewa..99% ya wapatao mimba huendekeza mapenzi..kidogo sana wenye bahati mbaya kama kubakwa etc..Kama wataruhusu, maeneo Fulani huku Mara katika shule za kata, ni nusu tu ya mabinti wataripoti kwa masomo..nusu ingine wataripoti na kuahirisha hadi mwaka unaofuata. Yaani wamalizapo La 7 watajiachia hadi baaasi..kila mmoja "pregnant'. Tusiwekeze sana kuokoa asilimia moja..tuwajali zaidi asilimia 99..kimaadili na kiuhalisia, make wengi wanatetea warudi shule hawajui hata hali halisi huko mashuleni. Binti mtoro, matokeo yake kila mtihani anapanga F, akipata mimba ndo anatambua utamu wa shule.
 
Ukiona wengi wanashabikia na kumpinga Rais basi uzinzi kwa mabinti wadogo kwa kuwadanganya ndiyo kumekithiri.Na haya wanayoyaandika ndiyo wanayayoyatenda.
 
Big up mkuu, maana minashangaa eti baadhi ya watu wanapinga kauli ya mh rais kupinga wa
Wanaume wengi Tanzania wanawaharibi wabinti mashuleni Hata baadhi ya walimu wasio kuwa na maadili mema na ndiyo wanaompinga Rais.

Rais Dr John Magufuli hajaleta sheria mpya ya elimu sheria ni zile zile ila yeye ametukumbusha tu.

Na waandishi wa Habari wa nchi hii wamekuwa wanaandika hotuba za Rais kiushabiki Sana badala ya kuielimisha jamii.
 
Back
Top Bottom