Loafer tanzania
Senior Member
- Apr 28, 2017
- 162
- 184
Maisha ya huko yapoje kwenye miji mikubwa kama Shanghai/ Beijing ukilinganisha na maisha ya miji yetu mikubwa (Dar).
Maisha ya huko yapoje kwenye miji mikubwa kama Shanghai/ Beijing ukilinganisha na maisha ya miji yetu mikubwa (Dar).
Fafanua mkuuNi Sawa na kulinganisha maisha ya Igadungu Kalenga na maisha ya Kariakoo Dar.
Kalenga unaweza ukawa na "book" ukala siku tatu, Hapo Dar hiyo hela inaishia kwenye nauli.