Uliwahi kumkosea mtu ila hujui utampataje ili umuombe msamaha?

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,502
25,467
Wakuu,maisha ni safari,na katika maisha tunakutana na mambo mengi sana,

Kama kuna mtu labda uliwahi kumkosea jambo sehemu fulani kama vile,kwenye vyombo vya usafiri,Sokoni,Madukani au sehemu yeyote ile na ukaja kujutia kosa lako na ukatambua kua wewe ndio mkosa na ukatamani kumuomba msamaha ila hujui utampataje coz mlikutana tu kwenye hizo sehemu nilizozitaja hapo juu,

Tutumie uzi huu kuwaomba samahani tuliowakosea japo kwa kuandika story yenyewe ilikuwaje? Huenda uliyemkosea akakusoma hapa na kukusamehe,na Mungu ataona kua umejitambua na unaomba radhi,

Karibuni wakuu.
 
Mimi yenyewe kama kuna niliyemkosea humu JF anisamehe bure tu, mimi kwa upande wangu nimemsamehe na nimejifunza kusahau..

Binadamu hatujakamilika na kuomba radhi ni jambo la kiungwana sana...kwa hiyo wewe niliyekukosea kama unasoma hii comment yangu, Tafadhali Nisamehe ndugu yangu.
 
Mimi yenyewe kama kuna niliyemkosea humu JF anisamehe bure tu, .

Juzi ulifanya jambo la kitoto na la kijinga sana, sikupenda.
Niliandika uzi wa kukemea tabia ya watu ku quote uzi mzima, ilhali uzi ni mrefu, utoto ulio ufanya ni uliu quote tena ule uzi na ni ulifanya hivo baada ya kuona baadhi ya wajinga wakifanya hivo.

Sikuku reply wala kufanya chochote, nilicheka tu nikasema watu wengine hawajawahi jua wamejijengea heshima gani humu jf, halafu wanaivunja wenyewe kwa mambo ya kijinga kama hayo.
Jitahidi kuwa muungwana...
 
Duuh nisamehe ndugu yangu, nilifanya vile kwa masihara (utani) sikutegemea kama uliudhika...Samahani sana Maserati
 
Hii tabia ya kuQuote uzi mzima inakera sana aisee hasa kwa cc tunaotumia APP..na mm iliwahi nitokea kwny uzi mmoja..nilikosoa lkn watu wakanijia juu..ilibidi niEdit comment alaf nipige kimyaa km sikuwepo vile.."Uungwana ni vitendo wadau.." (Nimekazia hapo kwako mkuu)
 
Mimi yenyewe kama kuna niliyemkosea humu JF anisamehe bure tu, mimi kwa upande wangu nimemsamehe na nimejifunza kusahau..

Binadamu hatujakamilika na kuomba radhi ni jambo la kiungwana sana...kwa hiyo wewe niliyekukosea kama unasoma hii comment yangu, Tafadhali Nisamehe ndugu yangu.
Haswaaaa
 
Duuh nisamehe ndugu yangu, nilifanya vile kwa masihara (utani) sikutegemea kama uliudhika...Samahani sana Maserati
You not serious my buddy, kitu kilichokatazwa unasema ulifanya kwa utani??you must he kidding.
We wema tu uliteleza, kwa sababu binadamu wote tunavunja sheria ya vitu vilivyo katazwa.
So, utani is not utetezi kabisaaaaa
 
we nawe em kwenda huko...mtu kashaomba msamaha basi nawe ndo umemfanya mnyonge wako wa kumsakama....acha roho mbaya shubaaamit...
 
slept with her for a single night na asubuhi nikasepa kimya kimya, sijawai kumuona wala kukutana nae hata namba zake sina, sometimes i wish nimuombe msamaha, ule sikufanya ubinadamu ni ushenzi tu, najua ilimtesa kisaikolojia.

Ila sasa maisha bhana yana bad na good things, sasa ndio hivyo tu.
 
Mimi yenyewe kama kuna niliyemkosea humu JF anisamehe bure tu, mimi kwa upande wangu nimemsamehe na nimejifunza kusahau..

Binadamu hatujakamilika na kuomba radhi ni jambo la kiungwana sana...kwa hiyo wewe niliyekukosea kama unasoma hii comment yangu, Tafadhali Nisamehe ndugu yangu.
Mkuu, weye huwezi kuwa umemkosea mtu humu JF. Zaidizaidi, labda, kutuziba tusione mbele kwa kuwahi siti ya mbele sisi "wafupi"! Hahahahaaa!
 
Humu jf kila niliyemkosea kashaombwa msamaha.
Maajabu ni kwamba baadhi hua hawasemi kua "Castr nimekusamehe" badala yake huja na ngonjera zaidi za lile kosa lako.
 
You not serious my buddy, kitu kilichokatazwa unasema ulifanya kwa utani??you must he kidding.
We wema tu uliteleza, kwa sababu binadamu wote tunavunja sheria ya vitu vilivyo katazwa.
So, utani is not utetezi kabisaaaaa

Sawa Mama nakiri niliteleza, nisamehe niwe na amani ndugu yangu.. Najutia kosa
 
Mimi yenyewe kama kuna niliyemkosea humu JF anisamehe bure tu, mimi kwa upande wangu nimemsamehe na nimejifunza kusahau..

Binadamu hatujakamilika na kuomba radhi ni jambo la kiungwana sana...kwa hiyo wewe niliyekukosea kama unasoma hii comment yangu, Tafadhali Nisamehe ndugu yangu.
Mtu gani mkuu?Atakusamehe vipi kama hujaomwomba msamaha?Kuwa mwanaume mkakamavu anzisha uzi muombe msamaha kwa kumtaja jina
 
we nawe em kwenda huko...mtu kashaomba msamaha basi nawe ndo umemfanya mnyonge wako wa kumsakama....acha roho mbaya shubaaamit...
Povu vepe???
Ikiwa wahusika washayamaliza pm
Take a chill pills kwanza, sababu you barking on the wrong tree.
The b*astard
Ikikuuma kunya scania
 
Back
Top Bottom