Mwanamke akipita mbele ya ATM mashine ya kwanza Duniani.
Leo ni "50th birthday" ya mashine za kutolea hela, ATM baada ya mashine ya kwanza Duniani kuzinduliwa tarehe 02.07.1967 nchini Uingereza...
Inasemekana kwamba huyu ndiyo ' Mganga ' mkubwa na mwenye ' Ndumba / Uchawi ' mkubwa sana ambaye ndiyo amewapa nguvu hizi za ' Miujiza ' ambazo hawa Watu wanaojiita ' Mitume ' na ' Manabii ' ambao...
Mtangazaji wa Azam TV Fatna Ramole.
Source: Mwananchi.
UPDATE
---------------------------------------------------
Dada amepatikana Mdogo wake ashukuru Nguvu za Mitandao ya Kijamii.
Mapema...
Aman iwe nanyi katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Yule rappa mtundu wa mashail yenye ujazo killer kutoka mwanza mwanza amemushauli msanii mpenda kiki na mzee wa misifa ney wa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio...
Watazamaji wapatao alfu hamsini hawakuamini kuwa mwalimu wazamani wa shule Jeff Horn angeweza kumshinda mbabe wa ngumi na seneta mfilipino Manny Pacqiao kwa point na kumnyanganya mkanda aliokua...
Waasi wanaodaiwa wa Kidemokrasi ya Congo DRC wamewateka madereva 21,wakiwamo Watanzania 18 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya malori ya mizigo ya Alistair ya nchini.
Akizungumza na gazeti la...
Chama cha Soka Tanzania, TFF ni miongoni mwa Taasisi ambazo weledi ulipaswa kuwa ndio kiini cha utendaji wa taasisi hiyo. Hali hiyo haipo kwa TFF ya Jamal Malinzi baada ya taarifa kusambaa kuwa...
Sasa hali tete haijawai kutokea kilo moja ya mchele kulingana na ile ya unga wa mahindi,hakika tutaisoma namba haswa maana mpaka sasa serikali haijatuambia sababu ya unga kupanda bei na kuwa sawa...
Usimcheke mwenzio akipatwa na matatizo
Manji alipopata matatizo ya kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya wapenzi wa Simba walishangilia sana kiasi cha kufikia kuwaita yanga mateja,
Sasa...
Namwonaga sana itv kama reporter na kiukwel ni miongoni mwa watangazaji wa itv ninaowakubali sema nilikuwa sijawai kujua jina lake,sasa leo akiripoti mambo ya sabasaba kama paschal mayalla ndo...
Idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya aina ya Heroin na Cocain katika jiji la Tanga imeongezeka kutoka zaidi ya 3000 hadi kufikia 5000 katika kipindi cha miaka 2 iliyopita kufuatia utafiti...
Habari zenu
Sasa hivi kumekuwa na matapeli ambao wanakupigia simu na kuomba kufanya kazi na wewe.
Hawa jamaa ni wasomi, wataalamu na pia wana uwezo mkubwa sana wa kuweza kukushawishi ili ukubali...
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais mazingira Luhaga mpina ametoa siku 15 kwa uongozi wa kiwanda cha Oky Past kilichoko Vingunguti kufanya marekebisho kwenye mfumo wa utoaji moshi katika kiwanda...