Basi la Mwendokasi laharibika na kufunga barabara

Basi la Mwendokasi laharibika na kufunga barabara

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
Basi la mwendokasi limeharibika kituo cha shekilango Na kufunga njia yake hivyo kulazimisha mabasi mengine kupita barabara ya kawaida Na kuongeza kero . Inaonekana wameshindwa hata kuulivuta kulisogeza usawa wa kituo ili yapishane. Kama basi moja linaleta kero hivi sijui yakianza kuzima double double itakuwaje
WP_20170704_14_34_12_Pro.jpg
WP_20170704_14_34_05_Pro.jpg
WP_20170704_14_38_51_Pro.jpg
WP_20170704_14_38_51_Pro.jpg
 
Manunuzi pia yalikuwa ya mwendo kasi. Hayo ni matokeo tuu.
 
Nakumbuka hotuba ya Halima Mdee kuwa haya "makopo ya kichina" yamenunuliwa kwa mkopo wa NMB. Mkopaji ni Kisena/Simon Group, ila dhamana ni ardhi ya UDA ambayo inamilikiwa kwa 49% na serikali, lakini cha ajabu serikali haikuhusishwa kwenye huo mkopo. Inasikitisha kama ni kweli, na yameshaanza kubuma sijui kama deni limeshalipwa hata nusu.
 
Gari kuharibika nayo ni ishu? Kwani si nayapita kisehemu kidogo tu kwenye hiyo barabara nyingine? Kero inakuwaje kwani kabla ya haya mabasi kuja ilikuwaje? Tuache maneno bana, gari imeharibika kidogo acha warekebishe mambo yaendelee
Issue sio kuharibika, limefunga njia wewe.
 
Nakumbuka hotuba ya Halima Mdee kuwa haya "makopo ya kichina" yamenunuliwa kwa mkopo wa NMB. Mkopaji ni Kisena/Simon Group, ila dhamana ni ardhi ya UDA ambayo inamilikiwa kwa 49% na serikali, lakini cha ajabu serikali haikuhusishwa kwenye huo mkopo. Inasikitisha kama ni kweli, na yameshaanza kubuma sijui kama deni limeshalipwa hata nusu.
Mdee anavyoengea hivyo utadhani kuna la ajabu sana alilofanya huko jimboni kwake. Kuzungumza na kukosoa wengine ni rahishi sana kuliko kutenda.
 
Hivi yanapopita katika njia ya magari ya kawaida bado yanabaki na sifa yake ile ya kuitwa Mwendokasi ama
 
Asante kwa taarifa, sisi wa mikoani hatuyajuhi hayo mabasi
 
Gari kuharibika nayo ni ishu? Kwani si nayapita kisehemu kidogo tu kwenye hiyo barabara nyingine? Kero inakuwaje kwani kabla ya haya mabasi kuja ilikuwaje? Tuache maneno bana, gari imeharibika kidogo acha warekebishe mambo yaendelee
Ishu sio gari kuharibika, ishu Ni kushindwa kuliondoa kwenye njia kwa wakati kama tulivyoaminishwa awali, mbona gari za kawaida zikiharibika na kuleta kero yoyote fasta break down zinafika Na kuondoka nalo?, kwa hiyo unasema tuvumilie kero kwa sababu tu eti zamani zilikuwepo zaidi ya hizi?, Basi un safari ndefu Sana kujua tafsiri ya maendeleo Ni nini!.
 
Kuna moja limekuja hapa kituoni gerezani mida hii tairi zinafuka moshi,wamelirudisha pale maskani ya kambare jangwani
 
Hivi yanapopita katika njia ya magari ya kawaida bado yanabaki na sifa yake ile ya kuitwa Mwendokasi ama
Wanajibu Tu!, hata mantiki ya mwendokasi Na nauli zake za juu zaidi ya daladala hawajui.
 
Back
Top Bottom