Vyeti vyangu feki nifanyeje?

Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.

Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Nenda kwa Bashite atakusaidia jinsi ya kukwepa kimbunga hicho.
 
Vitie kiberiti tu usikamatwe na kidhibiti. Au unaweza ukachoma nyumba yako ukawaambia vimeungua na moto.
 
Huu wa sasa hauhusu vyeti fake..
. hongera kwa kunusurika ...

Endelea kuchapa kazi
 
Nimesikia SAA nane alipotea kwa sabb ya kuuliza elimu ya baba , jescer , bashite akaona ndio gia ya kutisahaulika kwk kwahiyo hata yeye hana og anavyo feki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom