Hakuna Mihimili Mitatu Inayojitegemea

Hakuna Mihimili Mitatu Inayojitegemea

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Wakuu Naomba niwasalimu...

Toka nasoma Somo la Uraia nimekuwa nikiaminishwa kuwa Katika kila Nchi Kuna Mihimili Mitatu ambayo haingiliani kiutendaji.. Mahakama, Bunge na Serikali. Kwa uhakika hili siyo Kweli hasa kipindi hiki cha Mfumo wa Vyama Vingi. Ebu tuone haka kamchanganuo Tu..

  • Rais wa Nchi anachaguliwa na Wananchi.
  • Rais anamteua Jaji Mkuu ambaye huyu ndiyo Msimamizi wa Shughuli zote za Bunge.
  • Rais anapendekeza jina la Waziri Mkuu.
  • Waziri Mkuu ni Sehemu ya Bunge ila kwa Kuwa ameteuliwa na Rais kusimamia shughuli za Serikali Bungeni hawezi kuwa upande wa Bunge tena.
  • Mawaziri wanateuliwa Na Rais kwa kushirikiana na Makamu wa Rais Pamoja na Waziri Mkuu.
  • Rais ana Mteua Katibu wa Bunge ambaye siyo Sehemu ya Wabunge
  • Spika Ni Mbunge kwa hiyo anatokana na BUnge lakini Kiutendaji Yeye anatekeleza pamoja na Mambo mengine akishirikiana na Katibu Mkuu wa Bunge Ambaye siyo Zao la Bunge.
Kwa Vyoyote vile Bunge haliwezi kuwa na kufanya shughuli zake kwa kujitegemea ilihali kuna uteuzi wa Rais, au Mahakama kuwa Independence ilihali Jaji ni zao la Uteuzi etc etc.
 
Hizo ni porojo tulizofundishwa darasani tu
Ukija kwenye uhalisia kuna mhimili mmoja umejichimbia chini zaidi kuliko mihimili mingine
 
Wakuu Naomba niwasalimu...

Toka nasoma Somo la Uraia nimekuwa nikiaminishwa kuwa Katika kila Nchi Kuna Mihimili Mitatu ambayo haingiliani kiutendaji.. Mahakama, Bunge na Serikali. Kwa uhakika hili siyo Kweli hasa kipindi hiki cha Mfumo wa Vyama Vingi. Ebu tuone haka kamchanganuo Tu..

  • Rais wa Nchi anachaguliwa na Wananchi.
  • Rais anamteua Jaji Mkuu ambaye huyu ndiyo Msimamizi wa Shughuli zote za Bunge.
  • Rais anapendekeza jina la Waziri Mkuu.
  • Waziri Mkuu ni Sehemu ya Bunge ila kwa Kuwa ameteuliwa na Rais kusimamia shughuli za Serikali Bungeni hawezi kuwa upande wa Bunge tena.
  • Mawaziri wanateuliwa Na Rais kwa kushirikiana na Makamu wa Rais Pamoja na Waziri Mkuu.
  • Rais ana Mteua Katibu wa Bunge ambaye siyo Sehemu ya Wabunge
  • Spika Ni Mbunge kwa hiyo anatokana na BUnge lakini Kiutendaji Yeye anatekeleza pamoja na Mambo mengine akishirikiana na Katibu Mkuu wa Bunge Ambaye siyo Zao la Bunge.
Kwa Vyoyote vile Bunge haliwezi kuwa na kufanya shughuli zake kwa kujitegemea ilihali kuna uteuzi wa Rais, au Mahakama kuwa Independence ilihali Jaji ni zao la Uteuzi etc etc.
Jaji mkuu ni msamamizi mkuu wa shughuli za bunge!
 
2+2=4,katika makaratasi,lakini katika maisha inaangukia popote kati ya 0 na 9.
 
Separation of power theory haijawahi kumuacha ndagai salama kutoka executive organ
 
Back
Top Bottom