Wazee wa EAC na madai yao

Wazee wa EAC na madai yao

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,500
Reaction score
1,379
Nimemsikia Mh.Rais akitatua kero za mama mmoja huko Mwanza papo kwa papo,sasa na nyiye Wazee mungefuata utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kumuona Mh.Rais mumkabidhi malalamiko yenu.Nina imani atayatatua.
Musiandamane....fuateni taratibu za kumuona....wazee wanne tu au watatu wanatosha kuwakilisha wengine.
 
Ndoto hyo.kikwete kawazungusha weeee.mpaka wengine wamekufa.
 
Mh.Magufuli kama moto wa gesi hakuna kupinda pinda...ni papo kwa papo.Nina imani kubwa saana atawasaidia....hapendi watu kudhulumiwa haki zao.
 
kwa si wanasema walishawalipa

na kama bado rais awalipe tu haki yao bila kusubiria
wakamlambe lambe
 
Back
Top Bottom