Kasheshe ya kodi ya nyumba Dar

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
a222c5bcffa72479fc751fa2dd7f29e9.jpg


Kuna msongamano mkubwa kutokana na watu kuitika wito wa property tax. Inaonyesha siku ya leo halitoshi kwa sababu TRA hawakujuandaa na mafuriko. Serikali iongeze siku ili waitikie wito huu kwa ukamilifu
 
Bado watu wengi hawana elimu na hii Kodi maana wengi waliokuwa wanalipa ni viwanja vyenye hati Lakini sasa hata kama huna hati ni lazima ulipe
Mkuu, kwani viwanja visivyo na hati navyo vinalipiwa 2016/2017 GB au ni inayoanza mwaka mpya wa bajeti July?
Naomba kujuzwa
 
Back
Top Bottom