Watanzania kampuni hii ya mabasi ni hatari sana

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
775
Safari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana

Siku zote hizi tukiwa njiani tumeshapata tabu sana njiani, lakini kwa bahati mbaya tukifika kituo kinachofuata hatubadilishi basi (kampuni nyingine) tunapanda tena basi lingine la kampuni ile ile ya mwanzo tukiwa na matumaini tutafika salama na kwa wakati lakini kila mara huwa habari inakuwa ni ile ile na kwa bahati mbaya tunashindwa kuwa na ujasiri au ufahamu wa kushuka na kupanda basi la kampuni nyingine

Tuko kwenye basi la kampuni hii mbovu lakini sasa huyu dereva tuliye nae kidogo ananipa matumaini japo anayumbayumba lakini naona labda tumvumilie kwa sababu naona kama ndani ya basi tupo tunaomkubali na tupo tunaomkataa.

Tunamuombea kwa mungu atufikishe salama na kwa wakati maana waliomtangulia tena wa kampuni hiyo hiyo walituchelewesha sana...

Na tukifika kwenye kituo kingine kama mambo yatakuwa bado ni yale yale, nawashauri abiria wenzangu kwa pamoja tushuke tupande basi la kampuni nyingine....

Kwa sasa ni kumuombea tu dereva wetu mpendwa atufikishe salama....wala tusimpigie kelele tutamchanganya......
 
Safari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii

Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana

Siku zote hizi tukiwa njiani tumeshapata tabu sana njiani, lakini kwa bahati mbaya tukifika kituo kinachofuata hatubadilishi basi (kampuni nyingine) tunapanda tena basi lingine la kampuni ile ile ya mwanzo tukiwa na matumaini tutafika salama na kwa wakati lakini kila mara huwa habari inakuwa ni ile ile na kwa bahati mbaya tunashindwa kuwa na ujasiri au ufahamu wa kushuka na kupanda basi la kampuni nyingine

Tuko kwenye basi la kampuni hii mbovu lakini sasa huyu dereva tuliye nae kidogo ananipa matumaini japo anayumbayumba lakini naona labda tumvumilie kwa sababu naona kama ndani ya basi tupo tunaomkubali na tupo tunaomkataa.

Tunamuombea kwa mungu atufikishe salama na kwa wakati maana waliomtangulia tena wa kampuni hiyo hiyo walituchelewesha sana...

Na tukifika kwenye kituo kingine kama mambo yatakuwa bado ni yale yale, nawashauri abiria wenzangu kwa pamoja tushuke tupande basi la kampuni nyingine....

Kwa sasa ni kumuombea tu dereva wetu mpendwa atufikishe salama....wala tusimpigie kelele tutamchanganya......
Unamqongelea baba jescer
 
Tatizo hayo mabasi mengine hayana hata muelekeo matokeo yake yanagongana yenyewe
 
Mmeletewa bomberdia bado mnapiga kelele
 
Tatizo hayo mabasi mengine hayana hata muelekeo matokeo yake yanagongana yenyewe
Mimi ninadhani ingekuwa bora usingeandika uzi huu. Nilidhani kutokana na madhila uliyopata na mabasi hayo ungetutaarifa kampuni hiyo ili nasi tujiepushe na adha iliyokupata.
 
Umelipanda bila kujiandaa! Waliojiandaa kwa safari yao wanaenjoy we endelea kusononeka tu upunguze siku za kuishi
 
dereva mwenyewe anaendesha kwa fujo mikwara mingi akitaka kuangusha gar anakimbilia makanisani tumuombee afike salama akikosolewa mara sikumuomba mtu hela ya kutafutia lesen.
 
Zambia kuna bus liliua abiria wote mwezi jana mwishoni ...na ni kila mwezi huo kwa mwaka huua.ni kama kafara...
Angalia sana..yawezakuwa mungu anawaepusha..ila mioyo yenu mmeifanya migumu kutafuta kampuni nyingine
 
hahhahhahhahha kilaza kwa ubora wako
 
Safari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana

Siku zote hizi tukiwa njiani tumeshapata tabu sana njiani, lakini kwa bahati mbaya tukifika kituo kinachofuata hatubadilishi basi (kampuni nyingine) tunapanda tena basi lingine la kampuni ile ile ya mwanzo tukiwa na matumaini tutafika salama na kwa wakati lakini kila mara huwa habari inakuwa ni ile ile na kwa bahati mbaya tunashindwa kuwa na ujasiri au ufahamu wa kushuka na kupanda basi la kampuni nyingine

Tuko kwenye basi la kampuni hii mbovu lakini sasa huyu dereva tuliye nae kidogo ananipa matumaini japo anayumbayumba lakini naona labda tumvumilie kwa sababu naona kama ndani ya basi tupo tunaomkubali na tupo tunaomkataa.

Tunamuombea kwa mungu atufikishe salama na kwa wakati maana waliomtangulia tena wa kampuni hiyo hiyo walituchelewesha sana...

Na tukifika kwenye kituo kingine kama mambo yatakuwa bado ni yale yale, nawashauri abiria wenzangu kwa pamoja tushuke tupande basi la kampuni nyingine....

Kwa sasa ni kumuombea tu dereva wetu mpendwa atufikishe salama....wala tusimpigie kelele tutamchanganya......
Basi hili limeachana na viwanda sasa ni kamata kamata tuu na kesi za kisiasa
 
Zambia kuna bus liliua abiria wote mwezi jana mwishoni ...na ni kila mwezi huo kwa mwaka huua.ni kama kafara...
Angalia sana..yawezakuwa mungu anawaepusha..ila mioyo yenu mmeifanya migumu kutafuta kampuni nyingine
Hahahaaa !kyakyakyaaa !!!!!!!!!!???????
Mimi ninadhani ingekuwa bora usingeandika uzi huu. Nilidhani kutokana na madhila uliyopata na mabasi hayo ungetutaarifa kampuni hiyo ili nasi tujiepushe na adha iliyokupata.
 
Mimi ninadhani ingekuwa bora usingeandika uzi huu. Nilidhani kutokana na madhila uliyopata na mabasi hayo ungetutaarifa kampuni hiyo ili nasi tujiepushe na adha iliyokupata.
Mkuu tafadhali uzi sikuandika mimi huu
 
Mti mwema hazaa matunda mema.

Ili basi hili litufikishe salmini ni lazma vyuma chakavu ndani ya kampuni hii viondoke

Pia kampuni ile nyingine inaruhusiwa kuchukua spareparts bureeee!!
 
Back
Top Bottom