CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
Kila Mwanadamu Ni Chizi...
Amini usiamini, kubali usikubali, kila mtu ni chizi, hata wewe unayesoma post hii ni chizi, hata mimi niliyeandika post hii ni chizi; ispokuwa, uchizi wetu umetofautiana. Wapo ambao ni asilimia mia moja machizi (wendawazimu), na wapo wenye uchizi kwa kiwango cha kawaida (kama mimi). Wapo wenye kiwango cha kati cha uchizi, wapo wenye kiwango kinachokaribia asilimia mia moja na wapo wenye uchizi kwa asilimia zote. Hii maana yake tuna wanasiasa machizi, wanamuziki machizi, wanamichezo machizi, madaktari machizi, walimu machizi, maaskari machizi (ila uchizi huo ni kwa viwango tofauti). Rejea dhana ya 'yin yang' ama dhana ya 'dualism'.
Je, unaweza kukadiria kiwango cha uchizi wako ni asilimia ngapi?