Discuss Criticality: Hiwezekani Serikali ikupe elimu bure wewe ukatoe Mwili wako bure.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,971
2,000
Waku habari zenu.

Kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ningependa tutafakari na kujaribu kuchambua hii kauli iliyotolewa na mkuu wa kaya hivi juzi.

" HAIWEZEKANI SERIKAL UKUPE ELIMU BURE, WEWE UNAENDA KUTOA BURE MWILI WAKO "

Kwa wale waliopita chuo na kubahatika kupitia course ya critical thinking. Huwa kuna njia mbadala za kutambua Sentensi kama inamaana au haina maana. Yani "logical Validity and Soundness of an argument "

Hata hivyo si mpaka uende shule ndyo utaweza elewa kama statement au argument inamaana logically au ni upuuzi.

Kama una hekima na busara unaweza chambua huu ujumbe na kuuelewa kama unamaana au hauna.

Swali langu ni kuwa kama hii sentensi inamaana, je watoto wetu miili yao waifanyie biashara?
 
cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,213
2,000
Unataka kukuza mambo tu huna lolote,sasa mtoto atauza mwili kivipi?fikiria kwa kina kabla hujapinga kauli iliyotolewa
 
dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,056
2,000
Waku habari zenu.

Kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ningependa tutafakari na kujaribu kuchambua hii kauli iliyotolewa na mkuu wa kaya hivi juzi.

" HAIWEZEKANI SERIKAL UKUPE ELIMU BURE, WEWE UNAENDA KUTOA BURE MWILI WAKO "

Kwa wale waliopita chuo na kubahatika kupitia course ya critical thinking. Huwa kuna njia mbadala za kutambua Sentensi kama inamaana au haina maana. Yani "logical Validity and Soundness of an argument "

Hata hivyo si mpaka uende shule ndyo utaweza elewa kama statement au argument inamaana logically au ni upuuzi.

Kama una hekima na busara unaweza chambua huu ujumbe na kuuelewa kama unamaana au hauna.

Swali langu ni kuwa kama hii sentensi inamaana, je watoto wetu miili yao waifanyie biashara?
Sasa uliem-quote Sio Sisi.
Tujibu kwa niaba?

It's your dirty mind leading you astray.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom