Za chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi...
Maisha yana changamoto zake ndugu zangu..Vipato vimekuwa vya shida na biashara haziendi, inakubidi kuomba msaada au kuombwa msaada na ndugu, jamaa na marafiki!
Ila kuna janga jipya mjini la...
Ni Tshs 3,000 najua wengi hapa mtanicheka na kunikebehi ila hili suala limenifungua macho ni kwa kiasi gani haya makampuni yanaibia wananchi,ni nani wa kutetea raia dhidi ya wizi huu? kuna hata...
Poleni na kazi,
Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu,
Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na...
Wajameni, kama kuna mtu ana zile meseji za kufoward kwa watu kumi ili nitendewe miujiza naomba anifoadie. Maana sasa hivi naona labda zitanisaidia sababu nlikuwa nazipuuza sana. Hali ngumu sana...
Baada ya kumfuatilia kwa miaka kadhaa nimeona si mbaya kumleta jamvini kwa wanaomfahamu na wanaopenda kumjua pia.Dr Myles Munroe(from Bahamas) ni mmoja kati ya great mentors ever lived for his...
Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa...
Wakuu yaliyonikuta eneo la CRDB tawi la Mbezi Luis usiku ni majanga,ile ATM ya tawi la Mbezi Luis inahudumia watu wa kuanzia eneo la Kibamba,Mbezi,Msumi,Maramba Mawili,Kifulu mpaka Kimara Mwisho...
Naibu Waziri wa Mazingira Luhaga Mpina leo July 7, 2017 ameamuru Ofisi ya Mkurugnezi wa Jiji la DSM kulipa faini ya Tsh. 25m ndani ya siku 14 na kutoa maagizo mengine ya kiutendaji baada ya...
Alikuwa anatafuta hela kwa madereva waliokuwa wanaenda Saba Saba jana kwa nguvu pale magomeni makutano ya Morogoro road na kawawa road huyu mwanadada mdogo na mwenye umbo dogo. Nilipita pale mida...
Taifa changa barani Afrika la Sudan Kusini laiomba Serikali ya Tanzania kupeleka Walimu wa somo la lugha ya Kiswahili kwakuwa lugha hiyo itaingia katika mtaala wa Elimu baada ya kupitisha azimio...
habar ndugu zangu...kama kichwa cha thread kinavyosema natafuta mtu yeyote ambae ni tour guide ili niweze kuwasiliana nae maswala ya biashara
Au kama kuna namna ambayo naweza kumeet na...
By Tumaini Msowoya, Mwananchi;Tmsowoya@mwananchipapers.com
Jana, habari hii ya simulizi ya Msitu wa Nyumbanitu iliisha wakati mmoja wa waongozaji wetu, Alex aliporudia sharti la kutembea kwa...
Heshima kwenu mabibi na mabwana, poleni na heka heka za maisha,
Km kichwa cha habari kinqvyosomeka, ni wakati muafaka wa kuifanya dunia kuwa pahala salama kwa binadam,
Baada ya kupata muda...
Habari za asubuhi wanagenzi,
Habari Nilizonazo Mpaka Sasa Kutoka Uongozi Wa Serikari Ya Wanafunzi Chuo Cha Madini Dodoma(M.R.I.S.O) Ni Kuwa Mpaka Sasa Kumekuwa Na Sintofahamu Ya field kwa...
Kam akweli unajiamini unaweza na mpinzani wako hakuwezi kwa nini upigane naye huku umemfunga kamba za mikono na miguu? mbaya zaidi majaji wa pambano umewachagua wewe na unawalipa?
cha kuchekesha...
JITATHMINI
BABU alimkabidhi mjukuu wake jiwe, kisha akamwambia: "Jiwe hili nimekupa, ni la kwako. Nenda ukaulizie thamani yake, lakini usiliuze kwa gharama yoyote."
Kijana akalichukua jiwe lake...
Ilikuwa hivi wakati Rais Trump amemaliza kumsalimia mwenzake wa Poland mara moja akaelekeza mkono wake kwa Mke wa Rais wa Poland lakini kwa ' mshangao ' mkubwa Yule Mke wa Rais wa Poland hakumpa...
Tanzanian MP arrested for insulting 'problematic' Magufuli
A female Tanzanian MP has been arrested for allegedly insulting President John Magufuli, who is seen as increasingly authoritarian and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.