Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kaimu Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lucas Mkondya, amesema watu hao wamekamatwa huko Kongowe mkoa wa Pwani wakiwa na gari moja aina ya Noah lenye namba T 455 DEP. "Baada ya kuwakamata...
7 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari Wakuu, Leo kwenye gazeti la New York Times nimeona tumeshika tatu mkia kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha. Syria pia yupo juu yetu. Inakuwaje wakuu hadi North Korea wananchi...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Napenda kuwashukru kwa dhati benki ya NMB makao makuu wa kusiliza kilio changu. Baada ya kuposti usiku wa kuamkia leo kuwa benk ya NMB wamenifanya kuwa ombaomba, NMB makao makuu wamenipigia simu...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo nalikuwa nazunguka zunguka, nikapita sehemu wanauza matunda nikanunua apple 1 kwa sh 1000, ambalo lina size sawa na chungwa la 200, peas la 200, piches ya 100, embe la 300. Sasa nikatafakari...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Wanajamvi, Mwaka jana kulikuwa na zoezi la uhakiki kwa watumishi wa uma, zoezi hilo lilikwenda kwa awamu kama tatu hivi; 1.Uhakiki wa watumishi hewa 2.Uhakiki wa vyeti (NECTA) na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
GUMZO LA ESCROW: Sababu 5 za William Ngeleja kurudisha Fedha Waziri wa zamani wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja leo July 10 ametangaza kurejesha pesa Tsh. milioni...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Nina mgonjwa wangu nilimpeleka pale hospitali ya kairuki juzi saa 6 mchana, alikua anaumwa sana sanaa lakini cha kushangaza wao walivyompokea walimwekea drip tu na wakasema wamechukua vipimo na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni muislam, mkristo, mpagani au huna dini. Ni kipindi kizuri sana cha kuiombea nchi yetu kwa imani yako. Ili utukufu na amani ya Tanzania iendelee kudumu milele na Mungu awe kiongozi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanabodi, Safari ya kuzimu haihitaji mwili wako, kinachokwenda kuzimu ni nafsi yako tu. sasa kama unakwenda huko moja kwa moja basi mwili wako huzikwa na ndugu zako kama msiba wa kawada, lakini...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hawa watu wanajua kabisa kwamba mfumo wao wa mawasiliano ya EFD machines na database yao hauko stable tangia alhamisi ila wamemwaga wakaguzi mitaani kukamata wale waliokuwa hawajatuma report ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Halafu nikaenda kumpa baba aniwekee. Tulivyokuwa mazoba watoto wa zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimeshangazwa na shirika la posta lililoko mahututi kuweka gharama ya kupokea vifurushi vidogovidogo ambavyo vinaingia hata kwenye mfuko wa shati, mtu unalipia sanduku kila mwaka halafu bado na...
3 Reactions
45 Replies
10K Views
KUKABWA NA JINAMIZI NINI MAANA YAKE? NA NJIA ZA HARAKA ZA KUEPUKANA NA KUKABWA NA JINAMIZI KUKABWA NA JINAMIZI NINI MAANA YAKE? Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwanza nipende kumpongeza rais kwa project hii kubwa,najua itahitaji fedha nyingi sana kuikamilisha, naomba nasisi watumishi wa umma tutoe mchango maalumu wa sh 5000 kila mwezi (nje ya kodi)...
5 Reactions
130 Replies
9K Views
  • Closed
Behind the scene; kifo cha betty.! Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa wengine. Lakini siku zote ninaamini katika...
29 Reactions
668 Replies
183K Views
Heshima zenu wana jf nilikuwa Nina wazo ivi mnaonaje tukachagua kiwanja ambacho kila weekend kinakuwa kinatukutanisha Mimi upande wangu napendekeza sehemu kuu tatu kwa wale wana jf...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia mara moja watu ambao wananzisha ujenzi katika maeneo ambayo hayajapimwa kwani kwa sasa Serikali imeweka mazingira rafiki ya watu kumiliki...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huu mtindo wa kukata tissue kwenye ma bar ulitoka wapi? mana niko sehemu kuna mteja analalamika kwanini amepwa tissue ambayo haijakatwa? Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8. Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete. Iringa 15C Mufindi...
15 Reactions
80 Replies
12K Views
Wandugu, Nimeshangaa sana nilienda kwenye ATM ya bank pendwa falani hivi, sitaki kuitaja jina kwa heshima yao. Nikakuta salio limepungua nikapiga simu kwa mtoahuduma kwa wateja akaniambia...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…