Posta waweka gharama ya kupokea vifurushi

kinsakina

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,277
Reaction score
1,218
Nimeshangazwa na shirika la posta lililoko mahututi kuweka gharama ya kupokea vifurushi vidogovidogo ambavyo vinaingia hata kwenye mfuko wa shati, mtu unalipia sanduku kila mwaka halafu bado na kifurushi ulipe 1500/=,kweli namba inasomeka
 
Hela zinatafutwa Kwa force

OvA
 
Dawa ni kuachana nao hao. Niliwahi kutima EMS Mwanza toka Babati nilikuwa na ishu ya haraka , ikachukua mwezi. Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwalipua yaani hawa posta siwapendi kabisa.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Sent from my TECNO-L8Plus usintatag JamiiForums mobile app
tafadhali weka reference Ya hicho kifurushi hapa kuna mtu kesho atatumbuliwa mzima mzima au attach receipt hapa please
 
Kwa technolojia hizi bado unatumia posta mkuu?
wewe huelewi umuhimu wa land line za simu mfano za TTCL kuwa zinaaminika kuliko Mobile phone. Mtu mwenye landline akipiga simu polisi au zimamoto kuwa kuna tukio eneo Lake anaaminiwa kuliko mwenye Mobile phone ukiwasiliana na nchi nyingine kukuamini kuwa uko Tanzania ni kupitia shirika la posta sio email za internet au vimeseji koko vya watsap na tu meseji twa simu
 
Akili za kibashite utachelewa sana kupata maendeleo
 
wewe huelewi umuhimu wa land line za simu mfano za TTCL kuwa zinaaminika kuliko Mobile phone. Mtu mwenye landline akipiga simu polisi au zimamoto kuwa kuna tukio eneo Lake anaaminiwa kuliko mwenye Mobile phone ukiwasiliana na nchi nyingine kukuamini kuwa uko Tanzania ni kupitia shirika la posta sio email za internet au vimeseji koko vya watsap na tu meseji twa simu
ndo mwisho wako wakufikiri hapo pole sana

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 
Pesa zinasakwa kwa kila hali then mwananchi wa kawaida haimsaidii kila kitu kipo juu mishahara chin,vipato vimeshuka kwa wasio watumishi.hatuna la kufanya ngoja tusubir ndege nyingne zinakuja
 
Dawa ni kuachana nao hao. Niliwahi kutima EMS Mwanza toka Babati nilikuwa na ishu ya haraka , ikachukua mwezi. Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwalipua yaani hawa posta siwapendi kabisa.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
kuwalipua hahaha
 
Babati! Hujawahi kuagiza au kununua kitu online (eBay,alibaba, Amazon). Mzigo kutoka nje ya nchi utakuja kupitia kwenye simu au email?
Unaweza kujiona unajua kumbe mbumbumbu wa dunia.
Mkuu sijawahi kuagiza lakini kwa technology ya leo posta haiitajiki tena.
 
Posta bado muhimu sana na unapaswa unapoishi lazima uwe na sanduku la posta

Sent from my GT-I9190 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom