Mtu anawezaje kuchukua pesa kwenye account yangu?

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,145
Wandugu,

Nimeshangaa sana nilienda kwenye ATM ya bank pendwa falani hivi, sitaki kuitaja jina kwa heshima yao. Nikakuta salio limepungua nikapiga simu kwa mtoahuduma kwa wateja akaniambia nilitoa pesa hizo kwa njia ya kawaida yani kwenye cube kwa dirishani.

Nimeshangaa sana aliwezaje kutoa pesa dirishani yani alijazaform ya kutoa na akaweza kupewa pesa kutoka katika account yangu. Nimeacha kazi saizi nipo nafuatilia, naomba ushauri wakuu wakati nasubiri majibu hapa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nenda ofisini kwao mkuu. Onana na bosi wao kama hao watoa huduma usiporidhika na huduma zao.
Pole sana mkuu!
 
CCTV camera zitaonesha alienda kukwapua hela zako ..Kama n mkwanja mrefu Na una uhakika hukuwai kuchkua hiyo bus nenda mahakamani...Siku hz wafanyakaz WA Benk baadh Yao n waarifu sana WA mtandao.
 
Asante sana ndugu, Daah nashukuru MUNGU nimesubiri hapa nimeonyeshwa form ya huyojamaa alie chukua pesa yangu wamesema wanashuhulikia pesa itarudi.

Account nambayake inafanana na yangu kasoro namba mojatu ndio alikosea akaandika yangu hivyo zika fanana.

Lakini maswali ni mengi.

Jina halifanani na lakwangu, sahihi pia ni tofauti, najiuliza huyo aliemlipa hiyopesa kutoka kwenye account yangu alikuwa makini kiasigani???

Wakatianaingiza namba za account silazma jina na surayangu inatokea!!.

Je hakuomba kitambulisho ili kudhibitisha??

Katika sahihi pia hakuona tofauti??

Maswali badomengi, any way nawaheshimu sana hawajamaa maana wanajinakubwa hapa nchini ningewataja.

Hatahivyo nashkuru kwa ushitikiano walionionyesha ingawa nimepoteza masaa 5 bure.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh kuna mtu kashakudukua tayari
Daah sidhani kama alidukuwa kitu naona nikosa la mlipaji, kama angekuwa nania mbaya labda ange andika jinalangu.

Aah inashtua sana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
CCTV camera zitaonesha alienda kukwapua hela zako ..Kama n mkwanja mrefu Na una uhakika hukuwai kuchkua hiyo bus nenda mahakamani...Siku hz wafanyakaz WA Benk baadh Yao n waarifu sana WA mtandao.
Nikweli, hawa wafanya kazi wa bank wawemakini sana kama hawafani makusudi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana ndugu, Daah nashukuru MUNGU nimesubiri hapa nimeonyeshwa form ya huyojamaa alie chukua pesa yangu wamesema wanashuhulikia pesa itarudi.

Account nambayake inafanana na yangu kasoro namba mojatu ndio alikosea akaandika yangu hivyo zika fanana.

Lakini maswali ni mengi.

Jina halifanani na lakwangu, sahihi pia ni tofauti, najiuliza huyo aliemlipa hiyopesa kutoka kwenye account yangu alikuwa makini kiasigani???

Wakatianaingiza namba za account silazma jina na surayangu inatokea!!.

Je hakuomba kitambulisho ili kudhibitisha??

Katika sahihi pia hakuona tofauti??

Maswali badomengi, any way nawaheshimu sana hawajamaa maana wanajinakubwa hapa nchini ningewataja.

Hatahivyo nashkuru kwa ushitikiano walionionyesha ingawa nimepoteza masaa 5 bure.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Poa mkuu. Utafanikiwa...
 
Daah sidhani kama alidukuwa kitu naona nikosa la mlipaji, kama angekuwa nania mbaya labda ange andika jinalangu.

Aah inashtua sana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
anhaa sawa asee
 
Wandugu,

Nimeshangaa sana nilienda kwenye ATM ya bank pendwa falani hivi, sitaki kuitaja jina kwa heshima yao. Nikakuta salio limepungua nikapiga simu kwa mtoahuduma kwa wateja akaniambia nilitoa pesa hizo kwa njia ya kawaida yani kwenye cube kwa dirishani.

Nimeshangaa sana aliwezaje kutoa pesa dirishani yani alijazaform ya kutoa na akaweza kupewa pesa kutoka katika account yangu. Nimeacha kazi saizi nipo nafuatilia, naomba ushauri wakuu wakati nasubiri majibu hapa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Inahitajika namba yako ya akaunti tu afu mtu anatengeneza kadi anaenda kudraw

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kama hutaki kuwataja acha waendelee kukuibia!
Hahaa umenifanya nifungebreki za vidole wakatinaandika.

Ngojanikae kimyatu mkuu nimepita kucheki jionihii nimekuta wamerekebisha.

Ningeweza kuwatajatuu lakini nimeona siovibaya kuwahifadhi for the moment.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa umenifanya nifungebreki za vidole wakatinaandika.

Ngojanikae kimyatu mkuu nimepita kucheki jionihii nimekuta wamerekebisha.

Ningeweza kuwatajatuu lakini nimeona siovibaya kuwahifadhi for the moment.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ndugu ungewataja tu, hao ni wezi walijikopesha hela zako, kwa bahati nzuri kwao ulivyoenda kudai ukakutana na wahusika hivyo so wamelizima kiaina, tena watakuwa wameiba kwa mteja mwingine kukupa wewe! Naomba wataje!
 
Na wamekwenda wamezizalisha fedha kisha wakapata faida then wanakurudishia, utakatishaji huu
 
Back
Top Bottom