Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni hivi karibuni tumeshuhudia washika mpini wa ngazi za juu kabisa wakionesha uzalendo wao kwa kuwatumikia wanyonge. Mkulu kakabidhiwa majengo na mkapa foundation kwenye kijiji cha wanyonge sana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kufahamu wapi nianzie kupata kibali cha kuendesha shule yangu. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Aidha, imeonya walimu watakaopokea posho za kujikimu, lakini wasiripoti kuanza kazi katika vituo walivyopangiwa watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Akizungumza jana na waandishi wa habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hatimaye hii kitu kwa wapenzi/mashabiki tuliokuwa tukiisubiria kwa hamu sasa itakuwa hadharani in no day from now,hapa tutakuwa tunapeana mikasa kwa lolote litakalokuwa limejitokeza kwenye hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naamini umeshanijibu tega....." 12 wa NSSF ni wabadhirifu na 1 wao ni Malaika Mteule Malaysia " Nasubiri jibu langu Mheshimiwa Rais na kama ukishindwa basi niruhusu nikupe mji. Na ukishamaliza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika jamii yetu nimeshuhudia watu wakilalamika kuhusu uhalali wa vyeti vya wafanyakazi zaidi bila ya kujali uhalali wa elimu husika, kuna wahitimu wengi sana wana elimu feki na ushaidi upo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakala wa kodi nchini Kenya (KRA) imetangaza orodha ya makanisa yanayopata mapato makubwa (sadaka, I guess). kisha kulipa kodi. Orodha hiyo inajumuisha makanisa ya Wasabato, waothodoksi, na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanaotumia vituo vya mafuta ni wananchi, unapovifunga kwa wingi namna hii unalenga kuwaumiza watumiaji wa vituo hivyo zaidi kuliko wamiliki wake. Inakuwaje mtu asifikirie mateso yatakayowapata...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Leo tarehe 16/07/2017 ni sherehe ya siku ya NYOKA duniani.Kila tarehe 16/07 hufanyika sherehe kuwaadhimisha Nyoka duniani watu wa wanyama pori,snake farms,watu wa mazingira,wapenzi wa Nyoka nk...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Salam, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa taifa letu hili kwa kipindi chote cha awamu hii ya tano, na nimeona mambo ya kutisha na kuogofya sana. Watu ambao walikuwa "untouchables", "weka mbali na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya leo amechora katuni inayotoa fundisho mujarabu kwa anayehitaji kujifunza In God we trust
13 Reactions
101 Replies
9K Views
Mfumo wa elimu wa Tanzania tuiteni Tanzanite. Haupatikani popote pengine duniani. Ni nchi gani nyingine ambayo wanafunzi wanasoma shule ya msingi kwa lugha ya taifa wakifika secondary...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Post sent using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. ... Kwenye mizani ya wiki Leo alikuwepo Mh ZITTO NA BORA(mchambuzi wa maswala ya sheria) wakizungumzia issue ya Tegeta Escrow.... Kiukwel hichi cha mizani ya wiki kimetengewa...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Mungu kaweka utaratibu mzuri sana. Malipo ni hapa hapa duniani Wahenga wa juzi kati wansema ''Kuna maisha baada ya uchaguzi'' Star TV naikumbuka jinsi ilivyokuwa na upendeleo wa hali ya juu...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa Nimeona matatizo ya kisarufi katika magazeti yetu hapa nyumbani imebidi niseme.Tatizo ninalozungumzia haliathiri maudhui ya habari bali kwa wahariri walitazame vyema Leo...
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Nini imeikumba chanel ya start TV kwenye king'amuzi cha azam TV? Kazi ni Kazi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali ni dogo tu kwa wanahabari wa michezo Efm kupitia kwa Mtangazaji mkongwe Maulid wa Kitenge. Vipi kuhusu Ndondo cup mko kimya kabisa Kulikoni??
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu,kwa mlio ona toleo la leo tarehe 12/7/2017 Habari picha kwenye ukurasa wa mbele wenye kichwa cha habari WAKAMATWE chini yake kuna mapicha picha ambayo kimsingi hayana logic,ebu tuangalie...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
"Watu-roho" wanapobebana wataruka pale walipo kwenda juu umbali kadhaa watafika kwenye njia maalum(Tabaka la hewa la usafiri) ambapo wataweza kuelea na kutembea sehemu wanayoitaka. ------Unapovuka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…