Naomba kuelekezwa jinsi ya kupata kibali cha kuendesha shule

agata edward

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
6,641
9,400
Habari za asubuhi wanajukwaa,

Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kufahamu wapi nianzie kupata kibali cha kuendesha shule yangu.

Natanguliza shukrani.
 
Acha uvivu, tembelea tovuti ya wizara, mpaka fomu maalum zipo
 
Pamoja na kuangalia tovuti ya Wizara ya Elimu,fika kwa Afisa Elimu waKata pia huitwa Mratibu Elimu Kata,then utakwenda Ofisi ya Elimu ya Halmashauri husika mfano ,Manispaa Ilala,pia utaambiwa uonane na Maafisa Ukaguzi Wa Shule wa Wilaya/Kanda,Ikiwa in Shule ya Msingi zoezi litaishia hapo lakini kama ni Sekondari utalazimika kufika Wizarani na kuonana na Mkurugenzi wa Shule za Sekondari
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri umenipa mwanga niliokuwa nauhitaji!barikiwa sana.
 
Back
Top Bottom