Hadi sasa sijaona cha kumpongeza Magufuli

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
 
Hamia Somalia basi ukampongeze raisi wa Somalia
 
Tumeanza kujenga utaratibu wa kuwapa sifa watu wanaotekeleza wajibu wao. Magufuli hapaswi kusifiwa sana kwa kuwa vitu vingine ni basic tu. Ati mpaka watu wanaandaa maandamano kwa vile anatetea "rasilimali za Taifa". Ukiuliza ni zipi hizo? Unaambiwa ati ni Makinikia. We are not serious.
 
".....Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi."

Fafanua zaidi mkuu hapa...
 
Tumeanza kujenga utaratibu wa kuwapa sifa watu wanaotekeleza wajibu wao. Magufuli hapaswi kusifiwa sana kwa kuwa vitu vingine ni basic tu. Ati mpaka watu wanaandaa maandamano kwa vile anatetea "rasilimali za Taifa". Ukiuliza ni zipi hizo? Unaambiwa ati ni Makinikia. We are not serious.
inashangaza sana mkuu
 
Nasubiri kwa hamu jinsi Nyumbu wa Lumumba watakavyompongeza siku atakapowaambia HAGOMBEI 2020. Kwa sababu hapo alipo analalamika kazi ni Ngumu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
Kila mmoja wetu ana wajibu na nchi yake na kwa pamoja kama nchi tunapiga hatua moja kwenda hatua nyingine kila siku.

Pongeza ziwaendee watanzania wote kwa umoja wao ktk kujenga uchumi bora na kuboresha Huduma za jamii kwa watu wote.

Kama nchi changa tunaendelea kwa kadri tunavyoimarika kiuchumi
 
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
Kwani umeombwa na nani umpongeze?
 
Namkumbuka 'mhenga' mmoja katika masuala ya soka aliyewahi kusema anapenda sana sifa na hata akipewa nafasi ya kuchagua kati hela na sifa atachagua sifa! Nilimuelewa sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom