Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,455
- 872,090
Muingiliano huu wenye mipaka mwembamba mno ni jambo linalotekea lenyewe(automatically) yani mhusika hana amri juu yake!
Kwamba kwenye mwanga utafunga macho(giza) na kwenye giza utafungua macho(mwanga)
Hii ikoje?
Intuitions hizi zinatokea automatically kwenye baadhi ya matukio ya ghafla ya kushtusha ama yenye hisia kali! Matukio haya hutokea kwenye matukio kama ajali( sekunde chache kabla ya tukio) kifo! Jambo la aibu ama la kutisha nk ! Maranyingi na bila kutaka watu hufunga macho ama kuziba na mikono ama kuangalia pembeni
Lakini hapo kuna spidi ya supersonic ambayo lile tendo la kufunga macho ni kama flash ya Ku capture image! Unapofunga/fumba macho unaingia kwenye ulimwengu wa roho
Ukirudi upande wa pili wa giza! Muingiliano hufanya kazi pia unapohisi kuna hatari ama tukio la ghafla na kushtukiza kwakuwa uko kizani hufumbi tena macho bali huyatoa pima uone ni nini kimetokea! Na sawa na flash gizani
Katika hali zote mbili kuna taswira na picha za tukio husika huchukuliwa na jicho la tatu na kuhifadhiwa vizuri na kufanya usilisahau....jicho la tatu ndio huchukua nafasi kipindi hiki kulazimiza kuona ama kutoona kile nafsi ya utashi isichotaka ama inachotaka kuona
Kwa hiyo pamoja na akili zetu zote utashi na maono maamuzi na mipango bado kuna kitu kikubwa nyuma yetu kinachotuendesha tusicho na mamlaka nacho?
Je kitu hicho ndio asili yetu?
Je kitu hicho ndio uhalisia wetu?
Je kitu hicho ndio roho isiyokufa?
Je kitu hicho ndio ile nguvu ya asili (supernatural power?)
Bado kuna mengi hatuyajui