Mapinduzi yaletwayo na madini ya Graphite

Mapinduzi yaletwayo na madini ya Graphite

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
2,922
Reaction score
3,916
GRAPHITE (bunyu) ni madini ya viwandani ambayo pacha wake ni alimasi(diamondi).
madini haya yamepata sifa mbalimbali ambazo yameyafanya yawe tegemeo kubwa kwa techolojia inayoibukia kwa sasa. kama huifahamu vizuri graphite jaribu kuangaria kalamu ya mkaa, kinachotumika kuandika kinatokana na madini ya graphite
graphite imeundwa na viini viitwavyo graphene na haswa hivyi ndivyo vinavyotumika katika mapinduzi ya technolojia
123748-004-CF7C0356.jpg

picha ikionesha madini ya graphite kwa kiswahili bunyu

Tutazame sifa za madini haya moja baada ya nyingine

1.strongst and stiffness
  • strongest: graphene ni very strong kwa kiwango kikubwa sana kupita material yote duniani ambapo ni 200xsteel . hivyo sifa hii itaifanya itumike kutengenezea vitu vyingi kama madalaja, mabodi ya gari denge etc, helment za gari na pikipiki.
  • stiffness: graphene ipo kama inavutika kama ruber na inauwezo wa kuvutika asilimia 20-25 ya ulefu wake.
2. thinness and lightness
graphene ni nyepesi sana pia ni nyembamba sana.
  • thinness: 1 gram ya graphene inaweza kufunika uwanja wa mpira wa miguu. hii inaamanisha ukichukua gram 1 ya graphene unaweza kuipondaponda na kutendeneza carpet ambalo linaweza kufunika football ground.
  • lightness: graphene ni nyepesi sana kuliko unyoya wa kuku.
3. heat and electricity conduction
inauwezo wa kusafilisha heat kuliko vitu vyote duniani. pia inasafrisha umeme vizuri kuliko nyaya za copper.

4. impermeability
haiwezi kupenyesha kitu chochote isipokuwa maji pekee. na hii ndiyo sifa pekee itakayoifanya itumike kuchuja maji chumvi ya bahari ili yawe baridi.

kutokana na sifa hizo madini haya yatakuwa na matumizi mbalimbali kama ifuatavyo
1. yatatumika kutengenezea battery za magari ya kutumia umeme, battery za simu na solar
2. itatumika kuchuja maji ya bahari kuwia baridi
3. itatumika kutengenezea screen za simu, tv, saa ambazo zitakuwa zinakujwa(folding) kama karatasi.
kwa zaidi angalia hapa video inavyoeleza matumizi ya graphene katika maisha ya kilasiku.


LAKINI MADINI HAYA TANZANIA YAPO?.
Madini haya tanzania yapo na yanapatikana kwa wingi katika ukanda wa mashariki mwa tanzania na amanisha kuanzia mikoa ya Arusha, kilimanjaro, tanga, morogoro, lindi na mtwara.
pia kunamiradi baadhi ya uchimbaji wa madini haya utaanza hapa tanzania
kama vile
1. nachu project huko lindi
2.empako project huko mahenge morogoro
3. merelani wanaendelea na uchimbaji
na sehemu nyingine nyingi

je soko lake likoje?

upload_2017-7-17_12-46-21.png



upload_2017-7-17_12-49-14.png

Significant investment underway in the battery supply chain - Source: Deutsche Bank, May 2016


huu ni ulimwengu mpya wa graphite karibuni tuufurahie


 

Attachments

Almasi zi zao la graphite. Wataalam walisha tengeneza almasi kwa kutumia graphite - kwa impact ya time, temperature and pressure.
 
Kijana vipi,umekunywa bila hata kujua!Kwenye Moh hardness,graphite ina range kwenye 1-2,Wakati Diamond ndio the hardest ikiwa na moh hardness ya 10!
Sasa hapa unatulisha matango pori,rekebisha!
 
Ni kweli hecho kitu, ila sisi bado hatufikirii kutengeneza, tunafikiria y kusafirisha (export).

Jitahidi mkuu Kati ya L-R (sina maana ya kukutia kasumba) na samahani kama nitakukwaza.
 
Unaambiwa pamoja na thamani yake hiyo gharama ya uchimbaji wake ni ndogo sana kuliko uwekezaji wa Madini mengine, sasa cha kushangaza Tanzania tumeingia mkatabata wa kupata hisa 16% yaani ukifikiria sana unaweza kuwa kichaa
 
Kijana vipi,umekunywa bila hata kujua!Kwenye Moh hardness,graphite ina range kwenye 1-2,Wakati Diamond ndio the hardest ikiwa na moh hardness ya 10!
Sasa hapa unatulisha matango pori,rekebisha!
hahahahahha. unazungumuzia habari tofauti. graphene from graphite ni strogest material in the world wakati diamond ni hardnest material in world

Moh is about softness and hardness mkuuuuuuuuuuuuuu. jaribu kupitia pita madesa yako huko ulikoyatupa.
 
Unaambiwa pamoja na thamani yake hiyo gharama ya uchimbaji wake ni ndogo sana kuliko uwekezaji wa Madini mengine, sasa cha kushangaza Tanzania tumeingia mkatabata wa kupata hisa 16% yaani ukifikiria sana unaweza kuwa kichaa
siyo hivyo. pia jua pei yake ni kidogo sana kulinganisha na madini mengine. daima uchimbaji huwa rahisi tatizo huwa kupata data za kukufanya ukaanze kuchimba. pia kumbuka haya madini ya viwandani na yapo mengi tu hivyo ishu ni soko pia. kunamkampuni mengi yametafiti yakapata but kwa sasa yanahangaika kupata soko.
 
Back
Top Bottom